Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jela miaka 15 kwa shambulio la aibu


NA SOPHIA ASHERY, A3MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Hassan Seleman (23), kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la shambulio la aibu.Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Juma Hassan baada ya mahakama  kuridhishwa na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo.Karani wa mahakama hiyo, Felister Mosha, alidai kuwa Seleman alitenda kosa hilo Oktoba 23, mwaka jana, maeneo ya Kitunda Migombani, jijini  Dar es Salaam.Felister alidai kuwa Seleman alimchukua mtoto wa miaka mitatu (jina linahifadhiwa),...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)

Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo  kutokana na  upelelezi  wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...

 

5 years ago

Michuzi

Mwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5


Na Amiri kilagalila,Njombe

Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.

Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...

 

9 years ago

Habarileo

Msichana miaka 15 jela miaka 8 kwa kuua

MSICHANA wa miaka 15 (jina limehifadhiwa) amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kifungo cha miaka minane jela.

 

5 years ago

BBCSwahili

Asteria Mabirika, mama aliyeishi na aibu ya Fistula kwa miaka 20

Asteria Mabirika ni mama aliyeishi na aibu ya Fistula kwa zaidi ya miaka 20, jambo lililomfanya aolewe na mganga na wanaume wengine tofauti ambao walimtaliki kuokana na kunuka.

 

11 years ago

Habarileo

Miaka 30 jela kwa ubakaji

MKAZI wa kijiji cha Kigonsera kata ya Kigonsera wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Anton Ndimbo (33) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kutokana na kupatikana na kosa la ubakaji.

 

11 years ago

Habarileo

Jela miaka 30 kwa kubaka

MAHAKAMA ya hakimu mkazi wilaya ya Shinyanga, imemtupa jela mkazi wa kijiji cha Ilobashi wilaya ya Shinyanga Vijijini miaka 30 baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili.

 

11 years ago

Habarileo

Jela miaka 30 kwa ubakaji

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Hashimu Ahamada (48) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kushitakiwa kwa kesi ya ubakaji na ushahidi kukamilika.

 

10 years ago

Habarileo

Jela miaka 60, viboko 12 kwa kubaka wasichana kwa zamu

Pingu.MAHAKAMA ya Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, juzi imemhukumu mwanamume mmoja Festo Domisian (30), mkazi wa wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, kutumikia kifungo cha miaka 60 jela pamoja na kuchapwa viboko 12, baada ya kupatikana na hatia ya kubaka wasichana wawili kwa zamu akiwa na kisu na kumjeruhi mmoja wao.

 

10 years ago

Habarileo

Atupwa jela miaka 30 kwa ujambazi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Isaralo, Majire Peter (27), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani