Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jembe FM ya Mwanza yapewa leseni

DSC_0644

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akizungumza kwenye hafla fupi ya kukabidhi leseni kwa redio ya Jembe FM ya jijini Mwanza kwenye ofisi za makao makuu ya TCRA jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi wetu

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma ametaka matumizi sahihi ya masafa ya radio yanayatumiwa kurusha vipindi vya radio kwa ajili ya maendeleo ya umma.

Kauli hiyo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHOO YA JOH MAKINI NDANI YA JEMBE NI JEMBE, MWANZA YAACHA HISTORIA

Mwana Hip hop, Joh Makini akisema na mashabiki wake waliofurika katika Ukumbi wa Jembe ni Jemba jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo. Mashabiki wakiwa wamechizika na burudani kutoka kwa Joh Makini.…

 

10 years ago

GPL

DNA, KENRAZY, GRANDPA FAMILY WATIKISA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA

Mwanamuziki DNA akiwapagawisha mashabiki wa muziki ndani ya Ukumbi wa Jembe ni Jembe, Mwanza. Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Kenrazy akiwa stejini kuwapa burudani mashabiki wa Jembe ni Jembe.…

 

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA MEET AND GREAT YAFANA NDANI YA UFUKWE WA CLUB YA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga a.k.a Joe sambamba na Mkurugenzi wa kampuni bingwa ya Burudani hapa nchini,Prime Time Promotions ,Bi Juhayna Kusaga ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 wakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL),Bwa.Ephraim Mafuru  ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha hilo wakiwa ndani ya hafla ya Meet&Great ya Wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya (watakaoshiriki tamasha la fiesta) na...

 

10 years ago

Michuzi

Mwanza, Nyama Choma Festival inakuja Rock City - Jembe Ni Jembe Oktoba 25, 2014.


 Taswira za Nyama Choma Festival iliyofana sana katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es salaam nyama choma festival ya 6th September. Mambo haya yanahamia Mwanza Oktoba 25, 2015Kwa picha zaidi BOFYA LINK HIIhttps://www.facebook.com/media/set/?set=a.753558134705471.1073741852.164302240297733&type=3


 

11 years ago

CloudsFM

USAILI WA SERENGETI FIESTA SUPER NYOTA DIVAZ DIVAZ UNAOFANYIKA PANDE ZA JEMBE NI JEMBE,MWANZA

Usaili wa Dance la Fiesta na Serengeti Fiesta Super Nyota Divaz ukifanyika pande za Jembe ni Jembe,jijini Mwanza hapa majaji wakiwasaili washiriki waliofika eneo hilo.Mmoja wa washiriki wa Serengeti Fiesta Super Nyota Divaz akiimba kwenye usaili.

 

10 years ago

Dewji Blog

Instagram Party at Jembe Beach Mwanza!

Freconic Ideaz was pleased to organize Quarterly Party Event, which was held on October 4th, 2014 from 7:00 p.m. until 4:00 a.m. at Jembe ni Jembe aka Jembe Beach Mwanza.

The nights includes Live Musical Performances, dancing, meet and greets your fans and followers, etc.

Featured Live performances by:

Wakazi, Ben Paul, Stereo and Songa

Featured music by

Dj Vasley and Dj Dommy

Hosted by

Raheem Da Prince

Instagram is among the types of social network that allows users to share information...

 

10 years ago

Vijimambo

ORIJINO KOMEDI WATINGA NDANI YA JEMBE FM 93.7 MWANZA.

Kundi la Orijino Komedi likipata picha ya pamoja na ma-Jembe dJz kulia ni Dj Davy, kushoto ni Dj K-Flip, katika studio za Jembe Fm 93.7 Mwanza, Orijino Komedi Kesho jumapili wataungana na Yamoto Band katika Sunday Bonanza ya Familia na marafiki itakalopigwa Jembe Beach Malimbe kwa kiingilio cha shilingi 5000/=.Usiku wa leo (Jumamosi) uko pale pale ni SkyMotto, bendi ya Skylight itakisanukisha ikiwa sambamba na Yamoto Band ambapo kiingilio ni shilingi 10,000/= tu!!Dj Frank on one & two at...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA ZA INSTAGRAM PARTY JEMBE BEACH MWANZA

Instagram Party iliyofanyika Jembe Beach Mwanza usiku wa Oct 4, 2014 na kuhudhuliwa na mashabiki wa Instagram ambapo Wakazi, Ben Paul, Stereo na Songa walifanya onesho kali huku Madi Vasley na Dommy wakifanya vitu vyao.Mashabiki wa Instagram wakipata picha ya pamoja wakati wakiwa kwenye Instgram Party iliyofanyika Jembe Beach Mwanza.Ni ukodak Moment kwa kwenda mbele ndani ya Jembe Beach Mwanza.Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

Vijimambo

SKYMOTO YAWABAMBA WAKAZI WA JIJINI MWANZA NDANI YA JEMBE BEACH

DSC_0206Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Band Dkt. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe akizungumza na wakazi wa Mwanza kuwakaribisha kwenye show ya SKYMOTO iliyofanyika kwenye hekalu la maraha la Jembe Beach lililopo Malimbe jijini Mwanza.DSC_0209Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Band Dkt. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe akimtambulisha Mkurugenzi wa Yamoto Band Said Fella almaarufu kama Mkubwa na wanawe kwa wakazi wa jijini Mwanza waliotinga kwenye hekalu la maraha lililo Malimbe jijini Mwanza Jembe Beach.DSC_0119

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani