Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jenerali aliyempinga Museveni arudi UG

Mwanajeshi wa Uganda ambaye alitofautiana hadharani na rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni mwaka uliopita amerejea nchini Uganda

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Jenerali Ssejusa arudi Uganda

Rais wa Uganda amekutana kwa mara ya kwanza na Jenerali David Ssejusa aliyekuwa uhamishoni nchini Uingereza.

 

5 years ago

Michuzi

CGP SULEIMAN MZEE APANDISHWA CHEO NA RAIS MAGUFULI TOKA BREGEDIA JENERALI KUWA MEJA JENERALI



Meja Jenerali Suleiman Mzee ambaye pia ni Kamishna Jenerali wa Magereza, akizungumza na Maafisa na askari wa Makao Makuu ya Jeshi la Magereza(hawapo pichani) mapema leo Juni 3, 2020 katika hafla fupi ya kumpongeza iliyofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza leo Juni 3, 2020, jijini Dodoma. Meja Jenerali Mzee amepandishwa cheo hicho na Rais na...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUKABIDHIWA MADARAKA YA UONGOZI KWA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Namibia anayemaliza muda wake, Evaristus Shikongo(katikati) akipokea Salaamu ya heshima toka kwa Gwaride Maalum lililoandaliwa na Maafisa na Askari wa Magereza wa Namibia(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukabidhi rasmi Uongozi(kulia) ni Waziri wa Ulinzi na Usalama Nchini Namibia, Mhe. Immanuel Ngatjizeko na kushoto kwake ni Kamishna Jenerali Mpya wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Hamunyela. Sherehe hizo zimefanyika Februari 01, 2014 katika Chuo...

 

9 years ago

Mwananchi

Gerrard arudi Liverpool

Steven Gerrard amezungumza na Jurgen Klopp kujadili uwezekano wa wa kurudi kuichezea Liverpool wakati wa mapumziko ya Ligi Kuu Marekani (MLS).

 

9 years ago

Habarileo

Majabvi arudi kundini

MCHEZAJI Justice Majabvi wa Simba ameomba radhi kwa uongozi wa timu yake na tayari ameungana na wenzake kambini Shinyanga kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mwadui keshokutwa.

 

9 years ago

Global Publishers

Ray C arudi kuzimu!

ray-c1Mrembo aliyewahi kutikisa kwenye ‘gemu’ la Bongo Fleva, Rehema Chalamilla ‘Ray C’.

Na Musa Mateja
KAMA ni kweli manenomaneno yanayozungumzwa mtaani kwamba, mrembo aliyewahi kutikisa kwenye ‘gemu’ la Bongo Fleva, Rehema Chalamilla ‘Ray C’, eti ameanza kubwia ‘unga’ (madawa ya kulevya) kama zamani, basi nyota huyo atakuwa anarudi ‘kuzimu’ ambako alishatoka miaka miwili nyuma, Risasi Jumatano linakupa zaidi.

Hata hivyo, kwa kuweka sawa mzani wa habari hii kama maadili ya uandishi yanavyotaka,...

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi arudi jimboni

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi jana alikuwa miongoni mwa mawaziri waliorudi majimboni kuomba ridhaa ya kuwania kuteuliwa na CCM kuwania ubunge.

 

10 years ago

GPL

LAVEDA ARUDI BBA

Irene Neema Vedastous 'La Veda'. Stori: Gabriel Ng’osha MWANADADA aliyewakilisha Tanzania katika shindano la BIG BROTHER 2014 ‘HOTSHOTS’ nchini Afrika Kusini. Irene Neema Vedastous 'La Veda' ameitwa tena ili kushuhudia fainali za kinyang’anyiro hicho. Mrembo huyo amepanda pipa juzi saa 8 mchana kuelekea Sauz ambapo atakaa kwa muda wa wiki moja.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani