Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeshi la Japan sasa kupigana nje

Bunge la uwakilishi la Japan,limeidhinisha sheria ya usalama inayoliruhusu jeshi la nchi hiyo kupigana katika mataifa ya kigeni

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Sasa Japan inaweza kupigana nje

China imeilaumu Japan kwa kupitisha sheria ambazo zitairuhusu kupeleka jeshi lake kupigana vita nchi za ngambo

 

9 years ago

Michuzi

Waziri wa Mambo ya Nje akutana na Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje wa Japan

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) (kulia) akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje wa Japan yaliyofanyika katika Ofisi ya Wizara hiyo leo.Walioshuhudia mazungumzo hayo kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Mbelwa Kairuki, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bi, Mindi Kasiga na Katibu wa Waziri, Bw. Thobias Makoba.Maofisa kutoka...

 

11 years ago

Michuzi

JAPAN YATOA MSAADA WA MAGARI KWA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (kulia) akipokea ufunguo ikiwa ishara ya kukabidhiwa magari matano kutoka kwa Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada wakati wa tafrija fupi ya makabidhiano ya magari hayo kutoka Serikali ya Japan kwa ajili ya kusaidia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika majukumu yake ya kuzima moto na uokoaji nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika katika viwanja vya Kituo cha Zimamoto Kanda ya Ilala, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara,...

 

11 years ago

Michuzi

Naibu waziri wa mambo ja nje wa Japan atembelea shirika la reli jijini Dar es salaam

 Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Bw. Norio Mitsuya, mara baada ya kuwasili katika stesheni ya  Shirika la Reli Tanzania(TRL) kuangalia namna usafiri wa Treni ya Dar es Salaam Unavyofanya kazi, leo mchana

 Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk Charles Tizeba, akimuonyesha mchoro wa njia ya treni ya Bara na ile ya inayofanya Safari zake kutoka stesheni mpaka Ubungo Maziwa, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Norio...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN NA UJUMBE WAKE IKULU DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Waziri wa wa Mambo ya Nje wa Japan, Norio Mitsuya (kulia kwake) aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 01, 2014 kwa mazungumzo. Picha na OMR

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akutana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana . Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana. Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu.

 

10 years ago

Mtanzania

Jeshi sasa kuanzisha benki

GRACE SHITUNDU NA ESTHER MNYIKA
CHAMA cha Akiba na Mikopo cha Ngome (Ngome Saccos) kinachoendeshwa na Jeshi la Wananchi (JWTZ) kimewataka maofisa na askari kujiunga nao ili kufikia lengo la kuanzisha benki yao wenyewe itakayoitwa Ngome Benki.

Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Kanali Charo Yateri, wakati akitoa taarifa katika semina ya wakuu wa vikosi, vyuo na shule za mafunzo ya jeshi iliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl.

Alisema benki hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani