Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeshi la Nigeria labomoa madhabahu ya kishia

Vuguvugu la kiislamu nchini Nigeria (IMN) linadai kuwa mke wa kiongozi wa kishia nchini Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky ameuawa na jeshi la taifa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Iran yaitaka Nigeria kumwachilia kiongozi wa Kishia

Iran imeitaka Nigeria kumwachilia huru kiongozi wa Kishia Sheikh Ibrahim al Zakzaky aliyekamatwa baada ya vurugu kutokea kati ya wafuasi wa kundi lake na wanajeshi mwezi uliopita.

 

9 years ago

BBCSwahili

IS walipua madhabahu Syria

Wapiganaji wa dola ya kiislamu IS, wanadaiwa kulipua sehemu ya madhabahu ya kidini katika mji wa Syria wa Palmyra

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wa Kishia kuwaondoa IS?

Wanamgambo wanaoiunga mkono serikali ya Iraq wa kishia wametangaza kuanzisha mapambano ya kuwaondoa wanamgambo wa IS.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mhubiri wa Kishia anyongwa Saudi Arabia

Saudi Arabia imemuua mhubiri maarufu wa dhehebu la Kishia Sheikh Nimr al-Nimr, wizara ya masuala ya ndani imesema.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Nigeria 'lipo thabiti'

Rais Goodluck Jonathan amesema kuwa jeshi la nchi hiyo halijashindwa kuyazuia mashambulio ya kundi la wapiganaji wa Boko Haram.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Nigeria lahamia Maiduguri

Jeshi la Nigeria limehamisha makao yake makuu hadi mji wa Maiduguri ilikukabiliana na wapiganaji wa Boko Haram

 

10 years ago

BBCSwahili

Amnesty yakosoa jeshi la Nigeria

Shirika la Amnesty International, limelishutumu jeshi la Nigeria kwa kushindwa kuwalinda raia katika mji wa Baga dhidi ya Boko Haram

 

11 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Nigeria lavamia magazeti

Jeshi la Nigeria limevamia vituo vya kusambaza magazeti.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chibok yakombolewa na jeshi la Nigeria

Msemaji wa jeshi la Nigeria aeleza kuwa Chibok imekombolewa na jeshi kutoka Boko Haram

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani