Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Iran yaitaka Nigeria kumwachilia kiongozi wa Kishia

Iran imeitaka Nigeria kumwachilia huru kiongozi wa Kishia Sheikh Ibrahim al Zakzaky aliyekamatwa baada ya vurugu kutokea kati ya wafuasi wa kundi lake na wanajeshi mwezi uliopita.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

EU yaitaka jamii ya kimataifa ishirikiane na Iran kupambana na Covid-19

Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kipindi hiki cha kukabiliana na virusi vya Corona.

Josep Borrell ametoa mwito huo jana Jumatatu mjini Brussels na kuongeza kuwa, umoja huo unajiandaa kutuma misaada ya kibinadamu yenye thamani ya yuro milioni 20 hapa nchini Iran na Venezuela ndani ya wiki chache zijazo.

Kadhalika amesema EU inaunga mkono suala la Iran kupewa mkopo na Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF)...

 

9 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Nigeria labomoa madhabahu ya kishia

Vuguvugu la kiislamu nchini Nigeria (IMN) linadai kuwa mke wa kiongozi wa kishia nchini Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky ameuawa na jeshi la taifa

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria 0-0 Iran

Mabingwa wa Afrika Super Eagle ya Nigeria Wanakabiliana na mabingwa wa Asia Iran

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria na Iran ni sare tasa

Mabingwa wa Afrika Nigeria ilitoka sare Tasa na Iran katika mechi yao ya kwanza huko Brazil

 

11 years ago

BBC

World Cup: Iran v Nigeria

Preview followed by live coverage of the World Cup game between Iran and Nigeria.

 

11 years ago

BBCSwahili

Iran na Nigeria zaambulia sare tasa

Timu ya Iran na Nigeria zilitoka sare ya suluhu bin suluhu , katika mechi yao ya kundi F huko Curitiba, kwenye fainali ya kombe la dunia siku ya Jumatatu.

 

11 years ago

TheCitizen

It’s wrong for Nigeria to seek Iran’s hand on housing

The minister of Housing, Lands and Urban Development, Akon Eyakenyi, recently said that Nigeria is willing to partner with Iran in the provision of affordable houses in the country. The minister made the disclosure when she received an Iranian delegation led by its minister of Industry, Mines and Trade, Mohammad Nematzadeh.

 

10 years ago

StarTV

Familia ya mateka yasihi Al Qaeda kumwachilia.

Marekani imeeleza kuwa ilijaribu kumwokoa raia wake mzaliwa wa Uingereza Luke Somers, anayeshikiliwa mateka na al-Qaeda nchini Yemen.

Rais Barack Obama aliidhinisha kikosi cha kumwokoa Luke, mwezi uliopita.

“Kwa masikito, Luke hakuwepo, japokuwa mateka kutoka mataifa mengine walikuwepo na waliokolewa,” Baraza la Usalama la Taifa, limesema.

Mtu anayejitambulisha kama Luke Somers, ambaye alitekwa mwaka 2013, ameonekana katika video, akisema maisha yake yako hatarini na anaomba msaada.

Video...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa waisilamu afariki Nigeria

Kiongozi wa waisilamu katika jimbo la Kano nchini Ngeria, Emir Al-Haji Ado Bayero, amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani