EU yaitaka jamii ya kimataifa ishirikiane na Iran kupambana na Covid-19
![](https://1.bp.blogspot.com/-hjfP4sg9OSQ/XnmN6ZmGJ1I/AAAAAAALk3c/YpVXN_w2sJgViPsZVUNnUg1iPLZcEg_KQCLcBGAsYHQ/s72-c/4bv72959e009ec1mf3e_800C450.jpg)
Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kipindi hiki cha kukabiliana na virusi vya Corona.
Josep Borrell ametoa mwito huo jana Jumatatu mjini Brussels na kuongeza kuwa, umoja huo unajiandaa kutuma misaada ya kibinadamu yenye thamani ya yuro milioni 20 hapa nchini Iran na Venezuela ndani ya wiki chache zijazo.
Kadhalika amesema EU inaunga mkono suala la Iran kupewa mkopo na Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-cAkXb9C6MxI/XntfyOH5RsI/AAAAAAALlAM/AyYLfAo2-GIDGoHVWinc2AZXjEsz_GoHQCLcBGAsYHQ/s72-c/vodacompic.jpg)
Vodacom yasaidia jamii kupambana na Covid-19
![](https://1.bp.blogspot.com/-cAkXb9C6MxI/XntfyOH5RsI/AAAAAAALlAM/AyYLfAo2-GIDGoHVWinc2AZXjEsz_GoHQCLcBGAsYHQ/s640/vodacompic.jpg)
Jihitada za kuisaidia jamii kutatua changamoto mbalimbali kama ilivyo kwa janga hili la COVID-19 ni mojawapo ya majukumu ya Vodacom Tanzania PLC katika kusaidia jamii na wadau wake. Kipaumbele cha Vodacom ni afya na usalama wa...
9 years ago
BBCSwahili04 Jan
Iran yaitaka Nigeria kumwachilia kiongozi wa Kishia
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_dBr7FLEX24/Xm-b3vTzW7I/AAAAAAALj7w/xpnjaSq43qcGgvA3XmYan43tDIq0Xk4RACLcBGAsYHQ/s72-c/0c82b8ba-5145-42a8-a440-3531bad6450a.jpg)
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAITAKA SERIKALI KUONGEZA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO YA JAMII
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kuongeza na kutoa fedha za miradi ya maendeleo ya jamii katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini.
Akitoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayosimamia Taasisi ya Maendeleo ya Jamii leo tarehe 16/03/2020 mkoani Arusha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba ametaka ...
5 years ago
BBCSwahili21 Mar
Coronavirus: Wasanii waungana kupambana dhidi Covid-19
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Virusi vya corona: "Coronadamas", wanawake wanaoosha miili ya waliokufa na covid-19 Iran
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-W4ovwCOGbQk/Xsz83fpRHgI/AAAAAAALrlY/m8c3O0jtt5wXN2BHGh9KwvN3t8i6Nxk0ACLcBGAsYHQ/s72-c/costech.jpg)
COSTECH KUSIMAMIA RUZUKU YA KUPAMBANA NA UGONJWA CORONA (COVID-19)
![](https://1.bp.blogspot.com/-W4ovwCOGbQk/Xsz83fpRHgI/AAAAAAALrlY/m8c3O0jtt5wXN2BHGh9KwvN3t8i6Nxk0ACLcBGAsYHQ/s640/costech.jpg)
Hayo yamesemw na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia ya Tanzania (COSTECH), Dk.Amos Nungu wakati akizungumza na waandishi wa habari kupitia mtandao wa video leo. Amesema kuwa uratibu wa fedha hizo ni sehemu ya majukumu ya Tume hiyo ikiwa ni pamoja na kutafuta rasilimali fedha...
5 years ago
MichuziSerikali ya Marekani yatoa Dola milioni 3.6 kupambana na Covid-19 Tanzania.
Pia serikali hiyo imetoa kiasi cha dola millioni 1.9 ( shilingi Billioni 4.4) kupitia shirika lake la msaada la USAID ili kuisaidia Tanzania kukabiliana na mlipuko huo.
Mwakilishi Mkazi wa shirika la USAID nchini Tanzania Andy Karas alisema haya katika mkutano wake na waandishi wa habari. Alisema kuwa kuwa ni...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-dord9D_EcbQ/XtoaXH3mhGI/AAAAAAAEHgY/XIOmMx32irkIHVbdCdaK6Cy-KQ7AxpftQCLcBGAsYHQ/s72-c/a7231e57-79cc-4ccc-a8bb-1d8f2714db5e.jpg)
TMRC yatoa mchango kwa Serikali na jamii kupambana na Corona.
![](https://1.bp.blogspot.com/-dord9D_EcbQ/XtoaXH3mhGI/AAAAAAAEHgY/XIOmMx32irkIHVbdCdaK6Cy-KQ7AxpftQCLcBGAsYHQ/s640/a7231e57-79cc-4ccc-a8bb-1d8f2714db5e.jpg)
..............................................
TMRC imetoa msaada huo kwa hospitali ya Serikali ya Amana. Msaada huo ni gallons 50 za lita 5 za vitakasa mikono (sanitizer) ambazo kwa ujumla wake ni lita 250.
Msaada huo ulipokelewa na Mganga...
10 years ago
VijimamboUNODC KUISAIDIA ZANZIBAR KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA KWA JAMII
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) limesema litafanya tathmini ya kina kupata njia muafaka za kuisaidia Zanzibar kukabiliana na biashara, matumizi na athari za dawa za kulevya kwa jamii.
Hayo yamesema...