Jeshi la Nigeria latwaa mji wa Bama
Jeshi la Nigeria limeutwaa tena mji wa Baka kutoka mikononi mwa wapiganaji wa Boko Haram
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili27 Dec
Jeshi la Iraq latwaa ngome ya IS Ramadi
Chanzo kimoja cha habari kutoka jeshi la Iraq kimesema jeshi la Iraq linazidi kusogea kwenye jengo la makao makuu ya IS, Ramadi
10 years ago
BBCSwahili21 Feb
Jeshi Nigeria lakomboa mji wa Baga
Jeshi la Nigeria lakomboa mji wa Baga kutoka Boko Haram, ambao waliuwa watu wengi walipouteka
11 years ago
BBCSwahili16 Mar
Jeshi la Syria lakomboa mji muhimu
Serikali ya Syria yakomboa mji wa Yabroud, karibu na mpaka wa Libnan na ngome ya wapiganaji wanaopinga serikali
11 years ago
BBCSwahili17 Mar
Jeshi la DRC lakomboa mji wa Lukweti
Mji huo, ulikuwa unatumiwa kama makao makuu ya watu wa jamii moja kwa miaka sita
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Jeshi la Ukraine laondoka mji wa vita
Rais wa Ukraine Petro Poroshenko amesema kuwa majeshi ya Ukraine yanakaribia kumaliza mipango yake ya kuondoka mji wa Debaltseve
11 years ago
BBCSwahili28 Jun
Jeshi la Iraq lajongelea mji wa Tikrit
Serikali ya Iraq yasema jeshi lake lafanya operesheni kubwa kuukomboa mji wa Tikrit kutoka kwa wapiganaji
10 years ago
BBCSwahili07 May
Taleban yalazimu jeshi kulinda mji wa Kunduz
Wajeshi wa Afghanistan wametangaza kuwa, wamewauwa zaidi ya wapiganaji 35 wa Taliban katika makabiliano makali waliyoianzisha leo
9 years ago
BBCSwahili22 Sep
Jeshi la Burkina Faso lawasili mji mkuu
Jeshi la Burkina Faso limewasili Ouagadougou likilenga kushurutisha walinzi wa rais waliopindua serikali kusalimu amri.
10 years ago
BBCSwahili14 Feb
B Haram lashambulia mji wa Gombe Nigeria
Kundi la wapiganaji wa Nigeria, Boko Haram, limeshambulia mji mkuu wa jimbo la Gombe, kaskazini-mashariki mwa Nigeria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania