JESHI LA POLISI LIMELAZIMIKA KUVUNJA CHUMBA KUTOA MWILI WA MTU ALIYEKUFA SIKU NNE ZILIZOPITA.
Mtu mmoja Timotheo kweka (30) mkazi wa kiwanja cha ndege manispaa ya Morogoro amekutwa chumbani kwake amefariki dunia siku nne ziizopita na jeshi la polisi limelazimika kuvunja mlango na kutoa mwili huo .Akizungumza na ITV mmiliki wa nyumba alikokuwa amepanga Leonard Benedicti amesema kwa mara ya mwisho marehemu alionekana nje siku ya jumamosi hadi leo walipohisi harufu nzito chumbani kwake ndipo walitoa tarifa kwa jeshi la polisi na kumkuta ndani amefariki na kichwa kikiwa kimebanwa kwenye...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Awekwa moyo wa mtu aliyekufa Uingereza
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://2.bp.blogspot.com/-GakCDLVpI8c/VlCFtDsnI9I/AAAAAAAAXKM/fuSfDOx-E2I/s72-c/FB_IMG_1448116123927.jpg)
JESHI LA POLISI LAPIGA MARUFUKU SHUGHULI ZA KUAGA MWILI WA ALPHONSE MAWAZO
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Jeshi la Polisi mkoani Singida lamshikilia mtu anayedhaniwa kuwa jambazi sugu
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP.Thobias Sedoyeka.
Na Nathaniel Limu, Singida
Jeshi la polisi mkoani Singida,limefanikiwa kukamata mkulima na mkazi wa Kibaoni Iddy Issah (33), anayedhaniwa kuwa ni jambazi sugu baada ya kulipiga risasi moja mguu wake wa kulia, wakati alipojaribu kutoroka.
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Singida, ACP Simon Haule,alisema mtuhumiwa huyo amekamatwa Januari tatu mwaka huu saa 7.20 usiku katika baa ya Leaders iliyopo kata ya Kindai tarafa ya...
11 years ago
Michuzi17 Jun
10 years ago
Mwananchi16 Feb
Alichoniambia Malinzi siku 482 zilizopita
11 years ago
Michuzi17 May
MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KWA KUSABABISHA AJALI NA KIFO
11 years ago
Michuzi01 Jul
JESHI LA POLISI IRINGA WALAKAMATA WATUHUMIWA WA MWANAFUNZI ALIYECHOMWA MOTO, MWILI WAKE WAAGWA LEO
![](https://4.bp.blogspot.com/-xJi_Um_ALo0/U7LbWXdlLDI/AAAAAAAAKCA/cFuU36YPD_8/s1600/10492583_607210436052705_2820931477228157714_n.jpg)
Mwili wa Daniel Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha University College - RUCO) umeagwa leo na kusafirishwa kuelekea mkoani kwao kilimanjaro kwa mazishi.Wanafunzi wa chuo hicho na wananchi wa manispaa ya Iringa walioguswa na tukio hilo walijitokeza katika hospitali ya mkoa wa Iringa ambako shughuli ya kuuga mwili huo ilifanyika.Jeshi la Polisi...
5 years ago
MichuziUCHUNGUZI WA AWALI WA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM WABAINI MWILI WA MANGULA UMEKUTWA NA SUMU
Na Said Mwisehe,Michuzi Blogu ya jamii
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema jeshi hilo limebaini kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Bara Philip Mangulla mwili wake umekutwa na sumu.
Akizungumza leo Machi 9,2020 jijini Dar es Salaam ,Kamanda Mambosasa amewaambia waandishi wa habari kuwa jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja taasisi nyingine lomebaini kuwa mzee Mangulla...
10 years ago
Michuzi10 Nov
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA