Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JESHI LAGAWANYIKA KUHUSU UONGOZI BURKINA FASO

Jenerali, Honore Traore, mkuu wa majeshi ya Burkina Faso akitangaza kuchukua madaraka ya nchi. Mgawanyiko umeripotiwa ndani ya jeshi la Burkina Faso kuhusu ni nani anayefaa kuliongoza taifa hilo kufuatia kujiuzulu kwa rais Blaise Campaore baada ya miaka 27 uongozini. Kituo kimoja cha radio kilitangaza taarifa kutoka kwa naibu mkuu wa kikosi cha kumlinda rais kanali Isaac Zida iliyosema kuwa amechukua jukumu la kuliongoza taifa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi lagawanyika kuhusu uongozi B.Faso

Mgawanyiko umeripotiwa katika jeshi la Burkina Faso kuhusu anayefaa kuliongoza taifa hilo kufuatia kujiuzulu kwa Blaise Campaore

 

9 years ago

BBCSwahili

Jeshi ladhibiti Kambi Burkina Faso

Serikali ya mpito ya Burkina Faso imesema imedhibiti Kambi ya Vikosi vya ulinzi vya Rais vilivyofanya mapinduzi mapema mwezi huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Burkina Faso:Jeshi lapuuza wito wa AU

Jeshi la Burkina Faso limepuuza wito wa AU wa kuachia madaraka kwa raia

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi kuachia madaraka Burkina Faso

Jeshi nchini Burkina Faso limeahidi kuunda serikali ya umoja ili kusimamia mchakato wa kisiasa,

 

10 years ago

StarTV

Jeshi kukabidhi nchi raia Burkina Faso.

Jeshi nchini Burkina Faso lililochukua madaraka ya nchi hiyo limesema litarejesha madaraka kwa wananchi kwa njia ya kidemokrasia .

 
Kiongozi aliyechaguliwa na jeshi hilo kuongoza kwa muda Luteni Kanali Isaac Zida amewaambia wanadiplomasia kuwa pande zote mbili zitashirikishwa katika mchakato wa kumpata kiongozi wa kudumu wa taifa hilo.

 
Hata hivyo mkutano wa viongozi wa bara la Afrika uliofanyika mjini Adis Ababa umetoa wito kwa serikali ya muda inayoongozwa kijeshi kukabidhi madaraka kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Burkina Faso lawasili mji mkuu

Jeshi la Burkina Faso limewasili Ouagadougou likilenga kushurutisha walinzi wa rais waliopindua serikali kusalimu amri.

 

10 years ago

BBC

Congo v Burkina Faso

Preview followed by live coverage of Sunday's Africa Cup of Nations game between Congo and Burkina Faso.

 

10 years ago

BBC

Burkina Faso v Gabon

Preview followed by live coverage of Saturday's Africa Cup of Nations game between Burkina Faso and Gabon.

 

9 years ago

BBC

Who is who in Burkina Faso's coup?

A guide to the major players in Burkina Faso

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani