Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeshi latoa makataa kwa raia B Faso

jeshi nchini Burkina Faso limeyaagiza makundi ya wanaharakati kwamba yana hadi jumapili jioni kuwasilisha orodha ya wagombea wao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Jeshi kukabidhi nchi raia Burkina Faso.

Jeshi nchini Burkina Faso lililochukua madaraka ya nchi hiyo limesema litarejesha madaraka kwa wananchi kwa njia ya kidemokrasia .

 
Kiongozi aliyechaguliwa na jeshi hilo kuongoza kwa muda Luteni Kanali Isaac Zida amewaambia wanadiplomasia kuwa pande zote mbili zitashirikishwa katika mchakato wa kumpata kiongozi wa kudumu wa taifa hilo.

 
Hata hivyo mkutano wa viongozi wa bara la Afrika uliofanyika mjini Adis Ababa umetoa wito kwa serikali ya muda inayoongozwa kijeshi kukabidhi madaraka kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Utawala kurejeshwa kwa Raia Burkina Faso

Viongozi wa kisiasa, kijeshi na asasi za kiraia wakubaliana mfumo wa Serikali ya mpito nchini Burkina Faso

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LATOA ONYO KALI KWA WANAOTUMIAJI VIBAYA MITANDAO

MSEMAJI wa Jeshi la Polisi, Advera Senso akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Septemba 3,2014 kuhusu kupiga marufuku watu wanaotumia mitandao kinyume na taratibu.HABARI/PICHA NA PHILEMON SOLOMON
======== ======  ====== JESHI la Polisi nchini limetoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao vibaya ikiwemo kutuma ujumbe wa matusi, uchochezi, picha za utupu sanjari na kukashifu viongozi wa Serikali, dini na watu mashuhuri.
Akizungumza Dar es Salaam, Septemba 3,2014  Msemaji wa Polisi,...

 

10 years ago

GPL

JESHI LA POLISI LATOA ONYO KALI KWA WANAOTUMIA VIBAYA MITANDAO

Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Senso akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Septemba 3,2014 kuhusu kupiga marufuku watu wanaotumia mitandao kinyume na taratibu. Jeshi la Polisi nchini limetoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao vibaya ikiwemo kutuma ujumbe wa matusi, uchochezi, picha za utupu sanjari na kukashifu viongozi wa Serikali, dini na watu mashuhuri. Akizungumza Dar es Salaam, Septemba 3,2014  Msemaji...

 

10 years ago

Michuzi

Jeshi la Zimamoto jijini Dar latoa mafunzo ya matumizi ya Mtungi wa kuzimia moto kwa wananchi

Sargent Damian Muheya kutoka kitengo cha habari na Elimu kwa Umma Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akitoa maelezo ya kutumia vifaa vya kuzimia moto vya huduma yakwanza kwa watumiaji wa Kivuko cha Magogoni jijini Dar es salaam tarehe 05/03/2015,ili kuwajengea uwezo wa kukabiliana na majanga ya moto katika hatua ya awali.Sargent Damian Muheya kutoka kitengo cha Habari na Elimu kwa Umma Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akimuongoza mmoja wa watumiaji wa kivuko cha MV...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM LATOA TAHADHALI KWA WANAWAKE KUTOSHIRIKI KIMAPENZI NA WATU WASIOWAJUA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linatoa tahadhari kwa wanawake wa jiji la Dar es Salaa hususani wasichana kuwa makini na wanaume wanaowataka kimapenzi na baadaye kuwauwa na kutelekeza miili yao.
Zimekuwepo taarifa juu ya kuwepo kwa wanaume wawili wanaoshawishi wanawake kuwa nao kimapenzi na baada ya muda huwauwa. Hivyo natoa tahadhari kwa wanawake wa jiji la Dar es Salaam kuchukua tahadhali juu ya watu hawa maana huatarisha maisha yao au ya familia zao.
Inaaminika watu hao...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LATOA ONYO KWA WAVURUGA AMANI PAMOJA NA MADEREVA WALEVI NA WASIOZINGATIA SHERIA

Na.Vero Ignatus,Arusha.
Jeshi la polisi mkoani Arusha limetoa onyo kwa watu wachache wanaopenda kuvuruga amani katika kipindi cha sikukuu na kuwataka waache mara moja kuwa na fikra hizo kwani watachukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza Kamanda wa polisi mkoani hapa Jonathan Shana amesema kuwa kwa upande wa madereva wa vyombo vya usafiri ni marufuku kuendesha vyombo hivyo wakiwa wamelewa ,mwendokasi pamoja na kujaza abiria kupita kiasi kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yaoAidha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi laombwa kurudisha mamlaka kwa raia

Marekani inataka kuwepo utawala wa kiraia nchini Burkina Faso na pia mipango ya kuwepo uchaguzi wa urais wito

 

10 years ago

BBCSwahili

Utawala wa raia kurejea Burkina Faso?

Rais wa Ghana, Nigeria na Senegal watawasili nchini Burkina Faso kwa ajili ya kutoa msukumo kwa jeshi kurejesha utawala wa kiraia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani