Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je,una matatizo ya kukatizwa kwa umeme?

Tesla Motors, inayounda betri ya gari, imetangaza kuwa, ina mpango wa kuuza teknolojia ya betri yenye uwezo wa kuzalisha kawi nyumbani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Mfumo wa elimu una matatizo’

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa amesema mfumo wa elimu nchini una matatizo 10 yanayokwamisha mafanikio katika sekta hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

Hitilafu ya umeme katika uwanja wa mwanza imetokana na matatizo ya generator ya dhalula - TAA

Na Lorietha Laurence- Maelezo
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja  Ndege nchini (TAA)  Bw Suleiman Suleiman  ametoa ufafanuzi kuhusu hitilafu ya umeme iliyotokea katika uwanja wa ndege wa Mwanza kuwa imetokana na marekebisho ya kangavuke (generator) ya dhalula katika uwanja huo.
Bw. Suleiman ameeleza hayo leo jijini Dar es Salaam katika mahojiano maalum na mwandishi wa habari hii na kuongeza kuwa kila kiwanja cha ndege nchini kina generator ya dhalula.
“Viwanja vyote vya ndege nchini vina...

 

10 years ago

GPL

USIJISAHAU, UNA HAKI YA KUMPENDA, UNA HAKI YA KUMTOSA!

Hakuna ubishi mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yetu yaweze kukamilika. Bila kuwa na mtu ambaye kuna wakati unammis, ukiwa naye unajiona ni mwenye bahati kwa faraja anayokupa, ni lazima utahisi umepungukiwa kitu muhimu. Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, wapo wanaochukulia mapenzi kama kitu rahisi. Kitu ambacho anaweza kuingiza usanii...

 

10 years ago

Vijimambo

USIJISAHAU, UNA HAKI YA KUMPENDA, UNA HAKI YA KUMTOSA!

Hakuna ubishi mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yetu yaweze kukamilika. Bila kuwa na mtu ambaye kuna wakati unammis, ukiwa naye unajiona ni mwenye bahati kwa faraja anayokupa, ni lazima utahisi umepungukiwa kitu muhimu.

Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, wapo wanaochukulia mapenzi kama kitu rahisi. Kitu ambacho anaweza kuingiza usanii na mambo yakaenda. Hapa namaanisha hivi, mtaani kuna watu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Uvivu una madhara gani kwa watoto?

Natumaini wajukuu zangu ni wazima wa afya, mkiwa bado baadhi yenu mnaendelea na mfungo wa Ramadhan. Leo wajukuu zangu nina mada nyepesi ambayo naamini inawagusa wengi.Kabla ya kuanza mada yetu ya leo ni vizuri tukafahamu maana ya uvivu.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hata Kama Una Fedha, Kwa Wolper Ulie Tu

KAMA una fedha na kisha ukawa ni mume wa mtu wala usihangaike kumfuata binti anayeitwa Wolper.

Jacqueline Masawe ‘Wolper ’ amedai hawapendi  wanaume wenye fedha kwani wengi wao ni waume za watu na si rahisi kuonyesha mapenzi yao ya dhati kwake, pia hawezi kutembea nao hadharani kwa kuhofia ndoa zao.

“Unajua unapokuwa na mtu mwenye fedha zake halafu mtu mzima hivi unakosa penzi la kweli. Mapenzi yenu yatakuwa ya chumbani tu,” alisema.

“Hamtaweza kutembea pamoja, lakini ukiwa na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Je ushindi wa upinzani Malawi una maana gani kwa demokrasia Afrika?

Uchaguzi huu wa Malawi unairejesha tena nchi hiyo katika njia ya matumaini panapohusika suala zima la demokrasia na utawala bora.

 

10 years ago

GPL

MATATIZO YA UZAZI KWA AKINA MAMA

Akina mama wana matatizo mengi, mojawapo  kubwa linalowasumbua ni tatizo la kutokushika ujauzito.
Mwanamke kushindwa kupata ujauzito kwa kipindi cha ndani ya mwaka mmoja au zaidi ya mwaka  mmoja wakati mwanaume na mwanamke wanakutana kwa muda unaotakiwa na bila kutumia njia za kuzuia mimba ni tatizo. Kuna aina mbili ya tatizo hili moja hujulikana  zaidi kwa jina la primary infertility. Hii humaanisha  kuwa mwanamke...

 

10 years ago

GPL

MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME NA JINSI YA KUYAKABILI

Viungo vya uzazi vya mwanaume vimegawanyika katika sehemu kuu mbili. Kuna viungo vya uzazi vya nje na vile vya ndani. Viungo vya uzazi vya nje ni vile tunavyoviona kama uume na mfuko wa korodani.
Viungo vya uzazi vya ndani ni mirija ya mbegu za kiume ambacho ni kifuko cha akiba cha mbegu na tezi dume au tezi ya ‘Prostate’. Viungo hivi vyote vina umuhimu mkubwa kwa mwanaume katika kumfanikisha kuweza kufanya tendo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani