Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jiji la Dar Es Salaam kuendelea kusafishwa

RC DSM - 1

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki akitoa taarifa ya kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa (RCC) ofisini kwake jijini Dar es salaam.

Na. Aron Msigwa –MAELEZO.

Jumla ya kata 22 katika manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke zitaingizwa katika  mpango wa utengaji wa maeneo maalum (smart area) kwa ajili ya kuboresha usafi wa mazingira jijini Dar es salaam.

Akitoa taarifa ya kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa wa Dar es salaam (RCC) jijini Dar es salaam, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JIJI LA DAR ES SALAAM KUENDELEA KUSAFISHWA - MKUU WA MKOA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki akitoa taarifa ya kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa (RCC) ofisini kwake leo jijini Dar es salaam. 
Na. Aron Msigwa –MAELEZO,Dar es salaam.

Jumla ya kata 22 katika manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke zitaingizwa katika  mpango wa utengaji wa maeneo maalum (smart area) kwa ajili ya kuboresha usafi wa mazingira jijini Dar es salaam.

Akitoa taarifa ya kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa wa Dar es salaam (RCC) leo jijini Dar es salaam, Mkuu wa...

 

9 years ago

GPL

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUENDELEA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA MAWASILIANO‏

Ofisa Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Keith Tukei(katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo katika maduka ya Shoppers plaza Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.Wengine katika picha kushoto ni mteja wa kwanza kufika kupata huduma katika duka hilo Bw.Argylle Tsvakai na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia.… ...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI: SERIKALI HAITAWAFUNGIA WANANCHI MAJUMBANI WALA KULIFUNGA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA SABABU YA CORONA, ASISITIZA WATU KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI ZAIDI HUKU WAKICHAPA KAZI

Rais Dk. Magufuli akizungumza leoKULU, Chato.
Rais Dk. John Magufuli amesema Serikali haitawafungia wananchi majumbani (lockdown) wala kulifunga Jiji la Dar es Salaam ili kuepusha madhara makubwa yanayoweza kuwakumba wananchi na kuathiri uchumi wa nchi, na ametaka Watanzania kuondoa hofu, kuendelea kuchukua tahadhari huku wakiendelea na shughuli zao za uzalishaji mali na ujenzi wa Taifa.

“Tuwaondoe hofu wananchi, sio ugonjwa huu pekee unaosababisha vifo kwa wananchi, na sio kila anayepoteza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Dar es Salaam jiji ghali kuishi

Utafiti unaeleza Dar es Salaam ni Jiji ghali zaidi kuishi kuliko majiji mengine Afrika Mashariki

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Habarileo

Wabunge wataka jiji Dar es Salaam livunjwe

Mbunge wa Msalala, Ezekiel MaigeKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imehoji kwanini halmashauri ya jiji la Dar es Salaam isivunjwe na kuwa na kitengo kidogo kutokana na kutokuwa na majukumu ya moja kwa moja kwa wananchi.

 

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WATIMKA NA BODABODA

 Baadhi ya washindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam,wakiwa wamesimama mbele ya pikipiki zao baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(hayupo pichani)Promosheni hiyo imesha kwa kubadilisha maisha ya watanzania zaidi ya mia saba(700).  Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kulia)akibadilishana mawazo na baadhi ya washindi walijishindia pikipiki katika Promosheni ya Timka na Bodaboda  wakati...

 

11 years ago

Habarileo

Jiji Dar es Salaam lahaha na dampo Pugu

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam inahitaji zaidi ya Sh bilioni 15/- kuboresha dampo la Pugu Kinyamwezi katika Manispaa ya Ilala na kulifanya kuwa la kisasa, huku ikisisitiza waliovamia eneo hilo, lazima waondoke.

 

10 years ago

Vijimambo

MVUA KUBWA ‘YALILOWESHA’ JIJI LA DAR ES SALAAM

Mtaa wa Ohio katikati ya jiji ulivyokuwa umekumbwa na maji.…Hali ilivyokuwa maeneo ya Mwananyamala A.Maeneo ya Hongera, Sinza, nayo yalijaa maji.Maeneo ya Afrika Sana yalionja adha ya mvua hiyo kama sehemu nyingine nyingi.Hapa ni eneo la Mwenge-Bamaga ambalo nalo liliathirika vibaya. 
MTANDAO wetu leo umefanikiwa kuzunguka baadhi ya maeneo katika viunga vya jiji la Dar es Salaam na kujionea baadhi ya maeneo baada ya mvua kubwa ‘kuanguka’ katika jiji hili na maeneo ya jirani na kusababisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani