Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar es Salaam jiji ghali kuishi

Utafiti unaeleza Dar es Salaam ni Jiji ghali zaidi kuishi kuliko majiji mengine Afrika Mashariki

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Dewji Blog

Jiji la Dar Es Salaam kuendelea kusafishwa

RC DSM - 1

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki akitoa taarifa ya kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa (RCC) ofisini kwake jijini Dar es salaam.

Na. Aron Msigwa –MAELEZO.

Jumla ya kata 22 katika manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke zitaingizwa katika  mpango wa utengaji wa maeneo maalum (smart area) kwa ajili ya kuboresha usafi wa mazingira jijini Dar es salaam.

Akitoa taarifa ya kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa wa Dar es salaam (RCC) jijini Dar es salaam, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam...

 

10 years ago

Vijimambo

MVUA KUBWA ‘YALILOWESHA’ JIJI LA DAR ES SALAAM

Mtaa wa Ohio katikati ya jiji ulivyokuwa umekumbwa na maji.…Hali ilivyokuwa maeneo ya Mwananyamala A.Maeneo ya Hongera, Sinza, nayo yalijaa maji.Maeneo ya Afrika Sana yalionja adha ya mvua hiyo kama sehemu nyingine nyingi.Hapa ni eneo la Mwenge-Bamaga ambalo nalo liliathirika vibaya. 
MTANDAO wetu leo umefanikiwa kuzunguka baadhi ya maeneo katika viunga vya jiji la Dar es Salaam na kujionea baadhi ya maeneo baada ya mvua kubwa ‘kuanguka’ katika jiji hili na maeneo ya jirani na kusababisha...

 

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WATIMKA NA BODABODA

 Baadhi ya washindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam,wakiwa wamesimama mbele ya pikipiki zao baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(hayupo pichani)Promosheni hiyo imesha kwa kubadilisha maisha ya watanzania zaidi ya mia saba(700).  Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kulia)akibadilishana mawazo na baadhi ya washindi walijishindia pikipiki katika Promosheni ya Timka na Bodaboda  wakati...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wataka jiji Dar es Salaam livunjwe

Mbunge wa Msalala, Ezekiel MaigeKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imehoji kwanini halmashauri ya jiji la Dar es Salaam isivunjwe na kuwa na kitengo kidogo kutokana na kutokuwa na majukumu ya moja kwa moja kwa wananchi.

 

11 years ago

Habarileo

Jiji Dar es Salaam lahaha na dampo Pugu

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam inahitaji zaidi ya Sh bilioni 15/- kuboresha dampo la Pugu Kinyamwezi katika Manispaa ya Ilala na kulifanya kuwa la kisasa, huku ikisisitiza waliovamia eneo hilo, lazima waondoke.

 

11 years ago

GPL

HIVI NDIVYO MVUA ILIVYOLIVURUGA JIJI LA DAR ES SALAAM!

(PICHA NA GLOBAL WhatsApp +255 753 715 779)

 

11 years ago

Michuzi

JIJI LA DAR ES SALAAM KUENDELEA KUSAFISHWA - MKUU WA MKOA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki akitoa taarifa ya kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa (RCC) ofisini kwake leo jijini Dar es salaam. 
Na. Aron Msigwa –MAELEZO,Dar es salaam.

Jumla ya kata 22 katika manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke zitaingizwa katika  mpango wa utengaji wa maeneo maalum (smart area) kwa ajili ya kuboresha usafi wa mazingira jijini Dar es salaam.

Akitoa taarifa ya kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa wa Dar es salaam (RCC) leo jijini Dar es salaam, Mkuu wa...

 

9 years ago

Michuzi

WADAU WA DAWA WAKUTANA JIJI DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Dkt. Donnan Mmbando akizungumza  na waandishi wa habari juu ya matumizi ya dawa  katika Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yawe na uwiano sawa,na kuwa na kiwango kinachokubalika Kimataifa. Amesema  mamlaka husika inapaswa kusimamia na wataalam wa dawa ili kuendana na soko  la Jumuiya ya  Afrika Mashariki, leo Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo akizungumza na waandisi wa habari kuhusu jinsi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani