Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JINSI TABIA INAVYOWEZA KUKUFANIKISHA AU KUKUFELISHA MAISHANI

Michael Jackson. Kama vile mmea unavyoweza kupandwa kwenye mbolea ukaota, kukua na baadaye kuzongwa na magugu ambayo huudumaza na hatimaye kama hayatang’olewa kuua, ndivyo ndoto za mwanadamu na mafanikio yanayoweza kujengewa tabia njema ya kukua lakini baadaye tabia mbaya ambazo huja na mafanikio zikaua kila kitu. Withney Houston. Ili mwanadamu afanikiwe maishani mwake ni lazima awe na tabia pamoja na mwenendo unaovuta au...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

FAHAMU JINSI #RECRUITME INAVYOWEZA KUKUPA UJUZI UTAKAOKUSAIDIA KUPATA KAZI UITAKAYO

Na Jamiimojablog Ujuzi, katika soko la ajira ni mali ambayo inahitaji matengenezo na uboreshaji. Kama mali nyingine yoyote, matumizi yake bora, hukuzalishia zaidi. Sababu nyingi zimetolewa katika kipindi cha miaka mingi kwamba kuna utofauti wa wazi baina ya mtu mwenye elimu aliyeko kazini na mwenye elimu bila kazi. Utofauti huo ni jinsi ujuzi wa watu hao wawili unavyotumika.


Vijana wengi wa Tanzania wana ujuzi waliopata kutokana na mafunzo mbalimbali, lakini baadhi yao kushindwa kutumia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ken walibora: Jinsi mfalme wa Kiswahili Kenya alivyonipatia msukumo maishani

Mwandishi wa vitabu nchini Kenya, Ken Walibora ambaye alizikwa wiki iliyopita, ameacha kizazi kipya cha mashabiki wake wanaopenda kusoma vitabu vyake

 

10 years ago

Mwananchi

Fahamu jinsi unavyoweza kutumia kushindwa kwako kama kichocheo cha kupata ushindi maishani

Je umewahi kushindwa kutenda jambo lilikuwa muhimu sana kwa maendeleo ya maisha yako? Je hali hii huwa inatokea mara kwa mara au mara chache sana? Inapotokea huwa unafanya nini? Huwa unakata tamaa kabisa na kuacha kujaribu tena? Kabla hujatafakari sana kuhusu suala hili hebu soma taarifa yangu fupi kuhusu suala hili.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi damu ya mtu aliyepona corona inavyoweza kuwa tiba

Matumaini ni kwamba molekyuli walizozitengeneza zitasaidia kupambana na virusi vilivyo kwa wengine.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Ushahidi wa awali waonesha jinsi inavyoweza kufundisha mfumo wa kinga kudhibiti corona

Majaribio zaid yanatarajiwa kufanyika ili kuthibitisha kama chanjo hiyo inaweza kuzuia maambukizi ya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi virusi vya corona vinavyobadilisha tabia za raia wa Sierre Leone

Sehemu ya kwanza ya kipindi cha Afrika Eye inaangazia mlipuko wa corona unavyobadilisha tabia za raia wa Sierra Leone kuhusu jinsi wanavyoshirikiana

 

11 years ago

Mwananchi

Suti inavyoweza kukufanya uonekane nadhifu

Suti ni moja mavazi ambayo huwafanya wanaume wa rika zote kuonekani nadhifu.Licha ya sifa hiyo, baadhi ya vijana huona vazi hilo kama sumu kutokana na mwonekano wake kubadilika, huku wengi wakiamini kwamba watu wenye umri mkubwa ndiyo wanaopaswa kuvaa suti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani