Suti inavyoweza kukufanya uonekane nadhifu
Suti ni moja mavazi ambayo huwafanya wanaume wa rika zote kuonekani nadhifu.Licha ya sifa hiyo, baadhi ya vijana huona vazi hilo kama sumu kutokana na mwonekano wake kubadilika, huku wengi wakiamini kwamba watu wenye umri mkubwa ndiyo wanaopaswa kuvaa suti.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akRsClMUlkc1stKwPN2sal25ZOBfh5jjn*U4YRzJCU2DhLqQLQ4xg5rREMDdl8PWhvtPW6w-*N*T-exZfqSoT-jz/mahaba.jpg)
MPE SABABU ZA KUKUFANYA WAKE WA MAISHA!
Nawatakia heri ndugu zangu Waislam popote duniani ambao mpo katika funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Mwenyezi Mungu awajalie, maana mnatimiza moja ya nguzo muhimu katika imani na Inshallah Mola awafanyie wepesi muweze kutekeleza vyema. Sasa turejee katika mada yetu ambayo naamini itawafumbua wengi. Watu wote wana umuhimu wa kuingia kwenye ndoa lakini kuna tofauti kidogo, kwamba mwanamke anasubiri kufuatwa na mwanaume, wakati...
10 years ago
Vijimambo29 Mar
SWAGG ZA SUTI.
![](http://i1.wp.com/www.shereheyetu.com/wp-content/uploads/2015/03/swag.jpg?resize=598%2C600)
Je, unafahamu suti za harusi zinaweza kuwa za rangi aina yoyote? Kijivu, nyeupe, nyeusi, buluu iliyokolea, buluu ya bahari au hata rangi ya maziwa?
Hivi unafahamu unaweza fanya ubunifu kwa kuzi customize suti hizo?
Angalia tofauti ya mishono ya suti hizi, wamechanganya double na single breast.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOGlnOwPxepALQnbZO*I7Pw6f3UOSSS8APBebiJKhun2QwtyxQPyy460CfLu6KlkQHj-pywA0NgXB5jGnreHLxaPwh8MD3qi/mahaba.jpg?width=650)
MPE SABABU ZA KUKUFANYA WAKE WA MAISHA! – 2
KUNA wasichana wengi sana wanatamani kuingia kwenye ndoa. Kila siku wanalia. Wanaingia kwenye uhusiano na wanaume na baada ya muda mfupi wanashangaa wanaachwa!Tatizo ni nini? Wanajiuliza lakini majibu hawapati, wanabaki na tamaa mioyoni mwao. Ndoto inaendelea kuwa ndoto ambayo haitimii siku zote. Hiyo ndiyo sababu iliyonifanya niandike mada hii.Je, wewe msichana mwenye ndoto ya kuolewa, unampa sababu mwanaume wako akuoe? Ndugu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4Ts6wAJqDrrMgQ4WHaz9-RNt4nfv-zlz7LSQX8W7GqBfYyxHNogYrI9UK5FWLdKq-5vQS5O3Gp7rNT4GazIAh02W9HOW38A/mahaba.jpg)
MPE SABABU ZA KUKUFANYA WAKE WA MAISHA! – 3
MACHOZI siyo suluhisho la matatizo. Baadhi ya watu wamekuwa wakilia sana baada ya kukutana na mambo ambayo hawaoni njia za kutokea. Kifupi kulia siyo tiba, zaidi unaweza kuwa unajiumiza badala ya kutafuta utatuzi. Hata katika suala la ndoa, ambalo linawaumiza vichwa vijana wengi wakati mwingine huwatoa machozi. Ninachotaka kukuambia ni kwamba kulia siyo mwisho wa tatizo, kikubwa ni kutafuta njia za kukomesha machozi yako....
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DBD4PE5EidWSLZahzQUjEOCWFf4bE6isZFXdxHqlhxz6nkZ2mTfXzFetbkXUuvXRbOGSeye5Sy4WMKJ45hrd9NxNcyhP*zyz/MAHABA.jpg?width=650)
MPE SABABU ZA KUKUFANYA WAKE WA MAISHA! – 4
UNAWEZA kuwa kwenye uhusiano ukashangaa ghafla umeachwa bila sababu za msingi. Siku chache baadaye unaingia kwenye uhusiano ambao nao unaishia kuachwa kwenye mataa.Wapo baadhi ya wasichana wamekuwa na vilio vya namna hiyo. Kila siku wamekuwa wakilia na kusaga meno katika uhusiano wa kimapenzi. Hawana amani kabisa na maisha yao yameharibika. Dada yangu mpendwa, huna haja ya kuwaza mengi kichwani mwako, inawezekana kuna makosa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLaexLUq4914HnF4v5OZ-KKu3EGKNAsQasFfXMyWopXRRXrtMs4hTse6kCI1koxBl9XgrxgFMgyG1ujnbpFi9zrtY/1.gif?width=650)
NJIA 3 ZA KUKUFANYA UPATE ELIMU BORA KUHUSU MAPENZI
Awali ya yote naomba niseme kwamba, safu hii ni kwa ajili yako wewe msomaji wangu. Huenda una jambo ambalo ungetamani nilijadili hapa au labda una tatizo linalokukosesha amani katika maisha yako ya kimapenzi, usisite kunitumia ujumbe kupitia namba zangu hapo juu nami nitakufanya uwe na amani. Mpenzi msomaji wangu, nilishawahi kusema huko nyuma kwamba mapenzi yanachukua sehemu kubwa sana ya maisha yetu ya kila siku.Tunafanya kazi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKllH-rrmy149rcTTu*QhqfL2OjnXhFZhgsGUGU4wZuq5upE82VfZ4MCBjIh0JB0-fWtT7mLMYz80n9k0AtV*QPj/Kaburi.jpg)
WAFUKUA KABURI, WAMVUA MAITI SUTI
Stori: Gabriel Ng’osha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawasaka watu wanaosadikiwa kuwa ni wezi ambao wamebomoa kaburi la marehemu Napegwa Kishaluli (75), mkazi wa Mailimoja Kibaha na kuutoa mwili wake kisha kuiba suti, viatu na soksi alizokuwa amevalishwa. Kaburi likiwa wazi baada ya kufukuliwa. Habari za kipolisi kutoka mkoani Pwani zinasema kuwa, marehemu alizikwa Aprili 20, mwaka huu lakini siku saba baadaye...
10 years ago
Vijimambo12 Feb
SIDHANI KAMA SHIDA NI SUTI AU WEWE UNASEMAJE?
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-WPJ0bg7t96c%2FVNvrtRDp90I%2FAAAAAAADX9A%2FxlqJMB0yLW0%2Fs1600%2F10360708_10153092524539931_1510697460399436003_n.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-49rQ8ntwIZU%2FVNvrsm6zSJI%2FAAAAAAADX88%2FnwUv9wJmZ-I%2Fs1600%2F10958320_1043578015671542_1098316409749736956_n.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
Mwananchi27 Dec
HEKAYA ZA MLEVI: Vua suti ujitwishe debe la dhahabu
Tanzania ina kila aina ya vituko. Muuza nguo anakuletea shati, badala ya kutaja bei anakuuliza “unataka kununua shilingi ngapi?†Una dhahabu mkononi, unapotaka kuiuza mnunuzi haangalii ina ubora au daraja gani. Anakuuliza “dhahabu hii imefanana na ya nani?†Kama inafanana na ile ya Juma utalipwa kama alivyolipwa Juma. Kama imefanana na aliyouza Mr. Smith basi nawe utalipwa kama alivyolipwa Mr. Smith.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania