Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPE SABABU ZA KUKUFANYA WAKE WA MAISHA!

Nawatakia heri ndugu zangu Waislam popote duniani ambao mpo katika funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Mwenyezi Mungu awajalie, maana mnatimiza moja ya nguzo muhimu katika imani na Inshallah Mola awafanyie wepesi muweze kutekeleza vyema. Sasa turejee katika mada yetu ambayo naamini itawafumbua wengi. Watu wote wana umuhimu wa kuingia kwenye ndoa lakini kuna tofauti kidogo, kwamba mwanamke anasubiri kufuatwa na mwanaume, wakati...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MPE SABABU ZA KUKUFANYA WAKE WA MAISHA! – 2

KUNA wasichana wengi sana wanatamani kuingia kwenye ndoa. Kila siku wanalia. Wanaingia kwenye uhusiano na wanaume na baada ya muda mfupi wanashangaa wanaachwa!Tatizo ni nini? Wanajiuliza lakini majibu hawapati, wanabaki na tamaa mioyoni mwao. Ndoto inaendelea kuwa ndoto ambayo haitimii siku zote. Hiyo ndiyo sababu iliyonifanya niandike mada hii.Je, wewe msichana mwenye ndoto ya kuolewa, unampa sababu mwanaume wako akuoe? Ndugu...

 

11 years ago

GPL

MPE SABABU ZA KUKUFANYA WAKE WA MAISHA! – 4

UNAWEZA kuwa kwenye uhusiano ukashangaa ghafla umeachwa bila sababu za msingi. Siku chache baadaye unaingia kwenye uhusiano ambao nao unaishia kuachwa kwenye mataa.Wapo baadhi ya wasichana wamekuwa na vilio vya namna hiyo. Kila siku wamekuwa wakilia na kusaga meno katika uhusiano wa kimapenzi. Hawana amani kabisa na maisha yao yameharibika. Dada yangu mpendwa, huna haja ya kuwaza mengi kichwani mwako, inawezekana kuna makosa...

 

11 years ago

GPL

MPE SABABU ZA KUKUFANYA WAKE WA MAISHA! – 3

MACHOZI siyo suluhisho la matatizo. Baadhi ya watu wamekuwa wakilia sana baada ya kukutana na mambo ambayo hawaoni njia za kutokea. Kifupi kulia siyo tiba, zaidi unaweza kuwa unajiumiza badala ya kutafuta utatuzi. Hata katika suala la ndoa, ambalo linawaumiza vichwa vijana wengi wakati mwingine huwatoa machozi. Ninachotaka kukuambia ni kwamba kulia siyo mwisho wa tatizo, kikubwa ni kutafuta njia za kukomesha machozi yako....

 

9 years ago

Global Publishers

Kuoa wake wanne sawa, lakini mpe mkeo haki yake!

15_forgotten_habits_of_happy_couples_01Asalam alaikum wapenzi wasomaji wangu wote ambao mmekuwa pamoja katika mada zangu ninazotoa kila wiki, kwa wale wagonjwa poleni sana.

Leo nimeamua kuja na mada hii kwa sababu nimepata malalamiko kutoka kwa msomaji wangu aliyeamua kunywa sumu baada ya kuona mume wake ameoa bila kumwambia na kusubiri kuambiwa na jirani yake aliyempelekea umbeya.

Hivi wanaume mnadhani ni sahihi kuoa bila kuwaandaa wake zenu? Je, dini inasemaje katika suala hili, hakika kama wewe ni muumini wa dini inayoruhusu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Muigizaji atishiwa maisha yake kwa sababu ya kudansi

Nermine Sfar muigizaji kutoka nchini Tunisia amesema amepokea vitisho dhidi ya maisha yake kutoka kwa kundi la jihadi baada ya kuanza kupeperusha video za moja kwa moja akicheza

 

10 years ago

Mwananchi

Je unazijua sababu zinazokufanya ufanye mambo mbalimbali unayoyafanya katika maisha?

Hapana shaka katika maisha yako kuna mambo mbalimbali ambayo huwa unayafanya kila siku. Vile vile kuna mambo ambayo rafiki na jamaa zako huwa wakifanya.

 

10 years ago

Michuzi

KIKONGWE WA MIAKA 76 AAMUA KUJITENGENEZEA JENEZA LAKE MWENYEWE KWA SABABU YA UGUMU WA MAISHA

Bi Scholastika Mhagama akiwa katika mlango wa nyumba yake. ---------------------Na Oswald Ngonyani wa demashonews - Peramiho.Wahenga walisema ‘Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni;’ Jamii inazidi kujawa na chuki na ukatili ndani yake, imekuwa kawaida siku hizi kusikia fulani kamuua fulani kwa kisa kisichokuwa na maana.
Maalbino wanakatwa viungo vyao kwa visingizio vya kupata utajiri kwa watu wasiokuwa na huruma, watoto wadogo wananyimwa haki zao na kuwekwa ndani ya maboksi na wengine...

 

10 years ago

GPL

BATULI AELEZA SABABU ZA UKIMYA WAKE

Na Hamida Hassan BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, diva wa filamu Bongo, Yobnesh  Yusuph  ‘Batuli’ amefunguka kuwa kimya chake hicho kina mshindo kwani kuna kitu kilimuweka bize hivyo watu wakae mkao wa kula atawasapraizi. Diva wa filamu Bongo, Yobnesh  Yusuph  ‘Batuli’. Batuli alisema hayo baada ya mashabiki kuuliza amepotelea wapi ambapo alisema kuwa aliamua kukaa kimya kidogo ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani