Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jinsi ya kuimarisha usalama wa akaunti kwenye Facebook

website Design & Hosting in TanzaniaSiku hizi ni kitu cha kawaida kuona vitu vya ajabu vikitumwa tokea akaunti ya mtu unayemuamini sana na haukutegemea kama mtu kama yeye angeweza kutuma (post) vitu kama hivyo, na ikakufanya hata utake kujitoa (Unlike / Unfriend) toka kwenye urafiki au ufuatiliaji kwake. Je unadhani ni kweli kila kitu kinachotumwa kwenye Facebook hutumwa na na muhusika? Jibu ni hapana. Mara nyingi ni wavamizi walioingia kwenye akaunti ya muhusika na kuitumia kadri wawezavyo ama kwakuwa umeruhusu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MH. JERRY SILAA BAADA YA KUIBIWA AKAUNTI ZAKE ZA FACEBOOK NA TWITTER

TAHADHARI  Hii ni taarifa kwa umma kwa ujumla kwamba mtu au kikundi cha watu wasiojulikana na wasiokuwa waaminifu wametengeneza au kuingia kwa jinai kwenye anuani yangu ya facebook na Twiter (TWITA) kuanzia tarehe 6 Juni 2014 kupelekea mimi kushindwa kufanya chochote ikiwamo kuandika au kuposti kitu chochote tokea tarehe 7 Juni 2014. Kwa taarifa hii ijulikane kuwa posti zote toka tarehe 7 June 2014 sio zangu au sihusiki nazo. Kwamba watu hao wanaojifanya ni mimi wanatumia maneno au jina...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: hackers waiba akaunti ya facebook ya meya wa ilala Mstahiki Jerry Silaa leo

Napenda kuwajulisha marafiki zangu wote kwamba akaunti yangu ya facebook ime-hackiwa na kuanza kutuma ujumbe kwa marafiki zangu kuwataka waingie kwenye link kwani nina maongezi ya siri.
Tafadhali puuzia ujumbe huo kwani utasababisha akaunti yako nayo ku-hackiwa. Tafadhali sambaza ujumbe huu, wakati tunaendelea kujaribu kuiokoa. Nawaomba radhi wote walopatwa na usumbufu huu.
Asanteni sana - Jerry Silaa

 

10 years ago

BBCSwahili

Uganda:Majeshi Afrika kuimarisha usalama

Mazoezi ya Kijeshi nchini Uganda yashirikisha nchi tano yana kauli mbiu isemayo MALIZA UGAIDI

 

10 years ago

Dewji Blog

FACEBOOK kutumika kufunza usalama barabarani

DSC_0135

Naibu Kamishna wa Polisi  na Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la  Taifa la Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga (wa pili kushoto) akifurahi jambo na baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini. Kushoto ni Mratibu wa Mradi wa kuboresha Demokrasia na Amani (DEP) kutoka ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Bi. Beatrice Stephano, Afisa Mfawidhi Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kanda ya ziwa Mwanza, Bw....

 

10 years ago

Michuzi

JK atumaini kuvumbua jinsi ya kuimarisha utayari wa jamii dhidi ya majanga ya afya.

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania akihojiwa na Priscilla Lecomte wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa. (Picha: UN/JosephMsami)Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa jopo la Umoja wa Mataifa la kusaka jinsi dunia inaweza kukabiliana na magonjwa ya mlipuko kwa siku za usoni, amesema leo kwamba anatarajia kutoa mapendekezo juu ya mapugunfu yaliyoonekana wakati wa kupambana na Ebola.Akihojiwa na Priscilla Lecomte na Jospeh Msami wa idhaa hii, ameeleza kwamba...

 

11 years ago

Michuzi

Polisi TPA watunukiwa kwa kuimarisha usalama bandarini

Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akimpongeza mmoja wa askari wa bandari ya Dar es Salaam, Cornel Kufahaidhuru katika hafla fupi ya kuwazawadia askari 18 wa mamlaka ya bandari Tanzania (TPA) kwa kazi nzuri ya kuimarisha ulinzi katika bandari hiyo jana jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
Serikali imetoa sifa kwa kitengo cha usalama cha Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kwa kuimarisha ulinzi katika bandari na hivyo kuchangia kuifanya bandari hiyo kuongeza...

 

9 years ago

StarTV

Mgombea CHAUMA aahidi kuimarisha ulinzi na usalama wa raia

Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kikatili yakiwemo  mauaji ya alibino,mauaji ya vikongwe, ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia chama cha ukombozi wa umma (CHAUMA) kimesema endapo watanzania watakipatia ridhaa ya kuongozi nchi kitahakikisha kinakomesha vitendo vya kikatili kwa makundi hayo kwa kujenga makambi maalumu ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia wake.

Hayo yamesemwa na mgombea urais kupitia chama hicho Hashim Rungwe akiwa katika mkutano wa kampeni wilayani Nzega Mkoani Tabora...

 

9 years ago

BBCSwahili

Facebook yafungua tena kipengele cha usalama

Mtandao wa facebook umefungua tena kipengele chake cha usalama kufuatia mlipuko m'baya wa bomu lililowauawa takriban watu 32 kaskazini mashariki mwa mji wa Yola nchini Nigeria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani