Jinsi ya kutawala mafanikio yako - 1
Kwa muda mrefu nimezungumzia juu ya namna ya kupata mafanikio. Nilianza kwa kueleza namna mtu anavyoweza kutumia muda vizuri ili kupata mafanikio. Hapa nikasisitiza juu ya kuwa mshindi au bingwa wa kutumia muda na siyo kusema; ‘muda si rafiki.’
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi10 Sep
MBINU ZA MAFANIKIO : Jinsi ya kutawala mafanikio yako - 2
10 years ago
Mwananchi06 Feb
Jinsi ya kujiwekea mazingira bora ya mafanikio kimaisha (3)
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Jinsi ya kujiweka mazingira bora ya mafanikio kimaisha (1)
10 years ago
GPL
RAHA YA MAFANIKIO YAKO USAIDIE NA WENGINE WAFANIKIWE!
10 years ago
Dewji Blog28 Sep
Jinsi ya kuongeza Speed kwenye simu yako
Moja kati ya matatizo ya smartphones nyingi ni kuwa speed au kasi yake huwa ndogo sana. Hii hutokea mara nyingi kama umefungua applications/programs nyingi kwa mara moja. Je unawezaje kujikwamua na hali hii?
Kuna njia mbali mbali ambazo unaweza kutumia kuondokana na tatizo la simu kufanya kazi polepole. Njia kubwa na ya uhakika ni KUNUNUA SIMU YENYE UWEZO MKUBWA.
Kununua simu yenye uwezo wa kufungua application nyingi kwa wakati mmoja bila kusumbua ndio dawa sahihi ya kuondoka na tatizo...
10 years ago
Dewji Blog12 Oct
Jinsi ya kuongeza nafasi kwenye simu yako ya Android
Kama ni mtumiaji wa simu za Android (kama mimi) lazima umekwisha kutana na jambo hili. Mara kwa mara simu yako itakupa ujumbe kuwa imejaa. Kinachosababsha simu yako kujaa mapema si simu bali ni program (applications) unazopakua na kutumia pia maudhui kama vile picha, muziki na video.
Je unawezje kuongeza nafasi kwenye simu yako ya Android? Tutatumia mfano wa Huawei Y360. Sababu ya kutumia aina hii ya simu kama mfano ni kwa vile inaaminika na kupendwa na watu wengi, japo ni simu mpya hapa...
10 years ago
Mwananchi02 Aug
SAIKOLOJIA : Jinsi ya kutumia propaganda katika maisha yako
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Je,unajua jinsi ya kuyafanya maisha yako yawe na shangwe ?