Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jipange mwaka 2015 uwe wa mafanikio katika elimu

Saa zinahesabika kuukaribisha mwaka mpya wa 2015. Ninaungana na vijana wenzangu katika kudumisha amani katika kipindi chote cha sikukuu ili tuweze kusherehekea kwa amani

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mwaka 2014 uwe wa mafanikio ya michezo

WAKATI mwaka 2013 ukielekea ukingoni, wadau wa michezo wana mengi ya kukumbuka; yawe ya huzuni au furaha kwa ajili ya kujitathmini na kujipanga upya kabla ya kuingia mwaka mpya wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tunayapimaje mafanikio katika sekta ya elimu?

KWA muda sasa Tanzania imeendelea kutajwa kuwa nchi yenye viwango duni vya elimu katika ukanda wa nchi za Afrika Mashariki.

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel adai mwaka 2015 amepata mafanikio makubwa

Mtayarishaji wa muziki kutoka The Industry, Nahreel ameema baada ya kukabidhiwa tuzo ya mtayarishaji bora wa muziki wa Bongo Flava na KTMA 2015 amepata mafanikio makubwa. Nahreel ameiambia Bongo5 kuwa mwaka huu ni mwaka ambao amekuwa busy na kazi nyingi kuliko wakati uliopita. “Demand ya mimi kuproduce wasanii imekuwa kubwa sana, tena sana, kupita hata […]

 

10 years ago

Dewji Blog

WAMA yajivunia mafanikio katika sekta ya elimu

img_7026-2

Mke wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete.

Taasisi ya WAMA Foundation imefanikiwa kupanua fursa za elimu kwa mtoto wa kike kwa mwaka 2014.

Hayo yamesemwa na Mke wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete wakati Akiongea na wenza wa mabalozi kutoka nchi mbalimbali katika ghafla fupi ya kuukaribisha mwaka mpya 2015 iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam,

Mama Salma alisema kuwa baadhi ya mafanikio yaliyofikiwa na Taasisi ya WAMA ni kukamilika...

 

9 years ago

Michuzi

VETA YASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA WATAALAM WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA UNAOFANYIKA KATIKA OFISI ZA UMOJA WA AFRIKA JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA TAREHE 27 HADI 31 OKTOBA,2015

Katibu Mtendaji wa Tume ya Sayansi, Ufundi na Utafiti wa Umoja wa Afrika Dkt. Ahmed Hamdy akimsikiliza kwa makini mwanafunzi Abubakar Masandiko  wakati anaelezea ubunifu huo wa kuwasha na kuzima taa kwa kutumia remote katika maonesho hayo.Naibu Waziri wa Elimu wa nchini Somalia, Bw. Hamud Ally Hassan akimpongeza mwanafunzi Abubakar Masandiko kwa ubunifu wake uliotokana na elimu ya tehama anayoendelea kuipata katika chuo cha VETA Kipawa.Mwanafunzi wa chuo cha VETA Kipawa Bw. Abubakar...

 

9 years ago

Bongo5

Temba adai mwaka 2015 umekuwa wa mafanikio kwa muziki wa Bongo

10919100_282718041852156_79790684_n

Mheshimiwa Temba amesema mwaka 2015 ni mwaka ambao wasanii wengi wamewekeza zaidi kwenye muziki wao.

10919100_282718041852156_79790684_n

Temba ameiambia Bongo5 kuwa anauona mwaka huu kama wa mapinduzi kwenye muziki.

“Mwaka huu umekuwa mzuri sana kwenye muziki wetu, video nyingi za wasanii wa ndani zimepata airtime kwenye TV kubwa za nje ambapo ni tofauti na miaka iliyopita,” amesema.

“Yaani wasanii wamejaribu ku-invest zaidi kwenye muziki wao. Ukiangalia kama sisi ‘Kaunyaka’ tumeifanyia Afrika Kusini, Chege bado yupo Afrika...

 

11 years ago

Mwananchi

Mafanikio ya BRN katika kipindi cha mwaka mmoja

Mwezi Juni mwaka 2013, Rais Jakaya Kikwete alimteua Omari Issa kuwa mtendaji mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), inayoratibu Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

 

9 years ago

MillardAyo

Kuelekea Ballon d’Or January 11, haya ni mafanikio ya Ronaldo na Messi kwa mwaka 2015 …

Kuelekea fainali ya tuzo za mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2015 zitakazofanyika Zurich Uswiss January 11 2016, naomba nikusogezee mafanikio ya washindani wa jadi wa tuzo hizo. Kwa mwaka 2015 wachezahi watatu waliofanikiwa kuingia katika fainali ya tuzo hizo ni Messi, Neymar na Ronaldo. Kwa kiasi kikubwa washindani wakuu ni Messi na Ronaldo hao […]

The post Kuelekea Ballon d’Or January 11, haya ni mafanikio ya Ronaldo na Messi kwa mwaka 2015 … appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani