Jipatie Vodacom ZTE kwa Sh 40,000 Tu
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL9 years ago
Vijimambo17 Aug
Jipatie Tsh 2,000 hadi Tsh 40,000 kwa Video kupitia Kisakuzi.com
Kisakuzi.com ni mtandao unaoonesha video za matukio mbalimbali yanayotokea nchini. Mtandao huu, unanunua video na kumuwezesha mtazamaji kujiongezea kipato chake. Kutokana na ubora au tukio la video yako, unaweza kupata kuanzia shilingi 2,000 hadi 40,000 kwa video moja. Tunapokea video ambazo unazimiliki wewe, umeipiga kwa kutumia simu yako au kamera yako. Nirahisi. Upatapo video kama hiyo bila kujali ufupi wake unaweza kuituma kwenda Je, wajua kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta yako...
10 years ago
GPL10 years ago
MichuziVodacom Inaileta Kwako ZTE ya bei poa
Kufahamu Vodashop iliyo karibu nawe ili kujipatia simu hii ingia https://www.vodacom.co.tz/productsandservices/devices/vodacom-zte
10 years ago
Bongo520 Jan
Shilingi bilioni 29,995,000,000 zinawasubiri wateja wa Vodacom kupitia promosheni ya JayMillions
Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions kwa kutuma ujumbe wenye neno JAY kwenye namba 15544 ili kujua kama iwapo namba zao zimeibuka na ushindi katika droo inayofanyika kila siku. Akiongea baada ya kumalizika kwa droo ya sita ya promosheni hiyo ambayo ilifanyikiwa kupata washindi wa muda wa maongezi […]
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19 AnandTechView Full coverage on Google News
10 years ago
MichuziVodacom yaingia ubia na taasisi za kimataifa kusaidia wakulima 30,000 nchini
Taasisi ya Connected Farmer Alliance (CFA) ya ubia kati ya watu binafsi na makampuni inayohusisha Vodafone,Shirika la Maendeleo la Marekani (USAID) na Shirika lisilo la kibiashara la TechnoServe leo yamesainiana makubaliano ya kwanza ya kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu kuongeza uzalishaji kwa maelfu ya wakulima wadogo wa vipato vya chini nchini Tanzania.Kwa mujibu wa makubaliano kati ya CFA, Olam International inayojishughulisha na masuala ya elimu kwa wakulima na ununuzi wa mazao...
10 years ago
GPLVODACOM FOUNDATION YAUPA JEKI $ 166,000 MRADI WA HAKUNA WASICHOWEZA
Wasichana kutoka kata ya Ufukoni mkoani Mtwara wakisubiri kupatiwa elimu ya Afya na uzazi na kugawiwa pedi kupitia mradi wa Hakuna Wasichoweza unaoendeshwa na taasisi ya T-Marc chini ya ufadhili wa USAID na Vodacom Foundation.Vodacom Foundation imeongeza $166,000 kwa ajili ya kuuongezea nguvu mradi huo unaowalenga wasichana wanafunzi waliopo mashuleni na wale wasio mashuleni na kwa kuanzia zoezi hili linafanyika katika mkoa...
10 years ago
GPLWATEJA 225,000 WA VODACOM WAJIUNGA NA HUDUMA YA UJUMBE MFUPI YA UZAZI SALAMA
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dk.Seif Rashid (kushoto) akimsikiliza Ofisa Mkuu wa taasisi ya Udhibiti na Kinga ya Magonjwa ya CDC, Angela Makota (kulia) kwenye makabidhiano ya hundi ya Sh. Milioni 149 iliyotolewa na Vodacom Foundation kwa ajili ya kuunga mkono kampeni ya kuboresha huduma ya afya na Uzazi na Mtoto inayojulikana kama Wazazi Nipendeni.Makabidhiano yalifanyika katika ofisi ya wizara hiyo jijini Dar es...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania