‘Jitokezeni usajili wa ardhi’
WANANCHI wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika usajili wa ardhi ambao utawafanya kuwa na umiliki halali na kuepuka migogoro inayojitokeza sasa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika …
Mtu wangu wa nguvu najua headlines za usajili wa dirisha dogo kwa Bongo zimepita na sasa tunaelekea katika usajili wa dirisha dogo la mwezi January barani Ulaya, tumeona vilabu vya Man United na Tottenham Hotspurs vikiwania saini ya mchezaji wa Algeria anayekipiga katika klabu ya Leicester City Riyad Mahrez. Mtu wangu wa nguvu kabla ya dirisha […]
The post Kuelekea dirisha dogo la usajili barani Ulaya, huu ni usajili mbovu wa wachezaji uliowahi kufanyika … appeared first on...
9 years ago
Habarileo04 Jan
‘Jitokezeni kuadhimisha Mapinduzi’
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kusherehekea maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi yanayoanza leo. Dk Shein alisema wananchi wana kila sababu za kushiriki maadhimisho hayo kwa kuwa Mapinduzi ya Januari 12, 1964 ndiyo yaliyoleta Uhuru kwa wananchi wa Unguja na Pemba kutoka kwa wakoloni.
10 years ago
Habarileo09 Mar
JK: Wanawake jitokezeni Urais
WAKATI joto la kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu likiendelea kupanda, Rais Jakaya amewataka wanawake nchini kujiamini na kutohofia kuwania Urais, akisema wanaweza na hawakuwahi kumwangusha.
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
CETA: Vijana jitokezeni kugombea
VIJANA nchini wametakiwa kujitokeza kuwania nafasi za uongozi ikiwamo nafasi za juu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu. Wito huo ulitolewa mwishoni mwa wiki jijini...
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
‘Jitokezeni kuchangia afya ya mama na mtoto’
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, amewataka wananchi kujitokeza kuchangia fedha kwa ajili ya Kampeni ya ‘Simama kwa ajili ya akina mama wa Afrika’. Dk. Bilal, alitoa kauli hiyo...
10 years ago
Mwananchi18 Dec
‘Wanaume mnaopigwa na wake zenu jitokezeni’
10 years ago
Habarileo06 Jun
‘Wanawake jitokezeni nafasi za ubunge, urais’
MTANDAO wa Wanawake na Katiba nchini, umewataka wanawake nchini kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa hasa za ubunge na urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
10 years ago
MichuziWANAWAKE JITOKEZENI KUWANIA NAFASI YA URAS- TGNP
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI...