Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Wanawake jitokezeni Urais

Rais Jakaya KikweteWAKATI joto la kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu likiendelea kupanda, Rais Jakaya amewataka wanawake nchini kujiamini na kutohofia kuwania Urais, akisema wanaweza na hawakuwahi kumwangusha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Wanawake jitokezeni nafasi za ubunge, urais’

MTANDAO wa Wanawake na Katiba nchini, umewataka wanawake nchini kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa hasa za ubunge na urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE JITOKEZENI KUWANIA NAFASI YA URAS- TGNP

Mwanaharakati  wa TGNP  kutoa kijiji  cha   Ifiga kata ya Ijombe Mbeya  Bi . Flora Mathias Mlowezi akifafanua  jambo  wakati  wa mafunzo ya  wanahabari juu ya wajibu  wa  wanawake na  vijana kujitokeza katika kuwania nafasi za  uongoziwashiriki  wa  mafunzo ya  TGNP kwa  wanahabari wa mikoa ya nyanda za juu kusini wakisikiliza kwa makini mada mbali mbali zilizokuwa  zikitolewa katika mafunzo  hayo.

BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI...

 

10 years ago

Michuzi

Wanawake jitokezeni kugombea nafasi za uongozi - Mhe. Bona Kaluwa

Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa akifafanua jambo kwa wajumbe wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Pamba jijini Dar es Salaam, mapema jana wakati alipokuwa mgeni rasmi katika kutambulisha jumuiya hiyo.Shina hilo lipo katika Kata ya Kivukoni , Manispaa ya Ilala. Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa(katikati) akizungumza na wajumbe wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Pamba jijini Dar es Salaam, mapema jana wakati alipokuwa mgeni rasmi katika...

 

9 years ago

Michuzi

WANAWAKE JITOKEZENI KWA WINGI KUPIGA KURA - MAMA SALMA KIKWETE

Na Anna Nkinda – TarimeWANAWAKE wilayani Tarime wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwezi huu itakapofika na wachague viongozi watakaowaona wanafaa ambao watawaletea  maendeleo.
Rai hiyo imetolewa leo na  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wa wilaya hiyo iliyopo mkoani Mara katika ukumbi wa mikutano uliopo katika hoteli ya CMG.
Mama Kikwete ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kupitia wilaya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake ‘wapiga jaramba’ urais 2015

Wakati joto la kisiasa likiendelea kupanda kila siku, makundi mbalimbali ya wanawake yanaendesha kampeni za chinichini nchi nzima kuhakikisha kuwa anapatikana rais mwanamke katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ataja wanawake wanaofaa kuwania urais

MBUNGE wa Viti Maalumu, Anna Abdallah (CCM), amewataja wanawake watatu anaoona wanafaaa kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu mwakani. Akizungumza katika kipindi cha Medani za Wanasiasa na Uchumi, kinachorushwa na kituo...

 

10 years ago

Habarileo

Sophia Simba athibitisha wanawake kuwania Urais

Sophia SimbaWAZIRI wa Mendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amesema wapo wanawake wengi wenye sifa ya kushika nafasi ya Urais na kwamba muda utakapowadia watajitangaza.

 

10 years ago

Mwananchi

KINYANG'ANYIRO CHA URAIS: wanawake watano wajitosa kuwania

Wakati joto la mbio za kuwania urais likiendelea kuisisimua nchi, Umoja wa Wanawake Wanasiasa Tanzania (Ulingo), kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba, umesema tayari wameandaa majina matano ya wanawake kuwania nafasi hiyo baadaye mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba mpya ifungue urais, uwaziri mkuu kwa wanawake

SITAKI kumtaja mtu katika makala hii, lakini najua wapo baadhi ya viongozi haijalishi wamestaafu au wako madarakani, ambao wameonyesha namna walivyo mbumbumbu katika masuala ya siasa, uongozi, haki za binadamu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani