Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jiulize kwanza umefanya nini kabla ya kulaumu

Natumaini ndugu zangu wa darasa huru ni wazima wa afya. Kama ni hivyo basi naomba wote tumshukuru Mungu kwa baraka zake kwetu kwani kuna wengi waliopenda hata kufungua kinywa na kutoa salamu siku hii ya leo lakini wameshindwa. Tuwaombee wapate nafuu ili waweze kuwa na afya njema tena.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KABLA YA KUANZISHA UHUSIANO MPYA, JIULIZE KWA NINI UMEACHWA?

Tumshukuru sana Mungu kwa kutujalia afya njema na kutukutanisha tena hapa kwenye XXLove kujadili na kupeana elimu ya uhusiano. Wiki iliyopita tulijadili kuhusu kuachana na kuanza kuchukiana au kuwekeana visasi. Mada ya leo inahusu kukurupuka na kuanzisha uhusiano mpya baada ya kuachwa.Si jambo jema, unapaswa kujiuliza umeachwa kwa sababu gani? Ili hata kama ukiamua kuanzisha uhusiano mpya ujue ni mpenzi wa aina gani anakufaa?...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ufanye nini kabla haujashika ujauzito?

BAADA ya kufanya maandalizi ambayo tumeyaelelezea katika mfululizo wa makala zilizopita, usichukue hatua ya kushika ujauzito kabla hujafikiria suala hilo sawasawa. Kuna mambo mengine ya msingi kama 17 hivi unayopaswa...

 

9 years ago

Mwananchi

Kwa nini baadhi ya wanawake hukoma hedhi kabla ya umri

Tumepokea maswali mengi juu ya suala la kukoma hedhi ghafla, leo tutajibu swali hili.

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford:Ungetamani Kuniambia Nini Kabla Mwaka Huu Kuisha

Ikiwa zimebaki siku chache kuumaliza mwaka 2014.Muigizaji  wa filamu Shamsa  Ford anaetamba mwaka huu kwenye filamu ya CHAUSIKU, amewataka mashabiki wake na wapenzi wa filamu hapa nchini wamshauri chochote kuhusiana na kazi  zake na maisha yake ya sanaa kwa ujumla.

 Shamsa  ambae ni mama wa mtoto mmoja, aliweka picha yake nakuandika;

“Ni kitu gani ungetamani kuniambia kabla ya huu mwaka KUISHA”

Jina la Shamsa Ford, lilijitokeza sana mwaka huu kwenye magazeti ya udaku na mitandaoni baada ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kwa nini UKAWA na si Tanzania Kwanza?

WAKATI mchakato wa Katiba mpya ukiendelea na safari yake kupitia kwenye vikwazo vinavyowekwa makusudi na wenye hila, ambao hata hivyo hawawezi kufafanua sababu za kufanya hivyo wakaeleweka, wapo wananchi wanaojiuliza...

 

10 years ago

Mwananchi

Harakati za kuadhimisha Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia zinatufunza nini? -2

Watu wote wanaoifahamu vizuri historia ya nchi hii watakubaliana nami kuwa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia imeacha utajiri mkubwa wa kihistoria ambao kama ungeenziwa ungekuwa ni chanzo kingine kikubwa cha mapato kutokana na fursa za utalii zilizomo ndani yake.

 

10 years ago

Mwananchi

Harakati za kuadhimisha Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia zinatufunza nini? -1

Hekaheka zinaendelea kote ulimwenguni, hususan katika Ulaya kuadhimisha miaka 100 tangu kuanza kwa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.

 

9 years ago

MillardAyo

Matokeo ya mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA dhidi ya JKU, kabla ya Simba kushuka dimbani (+Pichaz)

Jumatatu ya January 4 ni siku ambayo Kombe la Mapinduzi liliendelea tena kwa mchezo wa kwanza wa Kundi A kuchezwa katika uwanja wa Amani Zanzibar. Huu ulikuwa ni mchezo wa tatu wa mashindano na wa kwanza kwa Kundi A ambalo lina timu za Simba, Jamuhuri, JKU na URA ya Uganda. Hivyo timu ya URA dhidi […]

The post Matokeo ya mchezo wa kwanza wa Kundi A kati ya URA dhidi ya JKU, kabla ya Simba kushuka dimbani (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo5

Video: Trailer ya kwanza ya Furious 7 yaonesha scenes za mwisho za Paul Walker kabla hajafariki kwa ajali

Trailer ya kwanza ya Furious 7 ilizinduliwa Jumamosi, Nov. 1 na kuonesha scenes za mwisho za marehemu Paul Walker alizofanya kabla ya ajali iliyosababisha kifo chake November 2013. Kwenye clip hiyo ya dakika mbili na kitu, Walker aliyekuwa akijulikana kwenye filamu hiyo kama Brian O’Conner anaonekana akifanya kile alichokuwa akikipatia – mbio za magari. “Just […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani