Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK aibukia Addis awapa neno Kili Stars

Wiki chache baada ya kung’atuka madarakani, Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ameibukia mjini Addis Ababa, Ethiopia kunakofanyika mashindano ya Kombe la Chalenji huku  akiwatakia kila la heri Kilimanjaro Stars.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

IGP Mangu awapa neno Waislamu


NA MWANDISHI WETU
MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini, Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu, ameungana na viongozi wa dini ya Kiislamu kukemea vitendo vya uhalifu.
Ili kudhibiti vitendo hivyo, amezitaka familia kutoa malezi bora kwa watoto  ili kuondokana na wimbi la watu wanaojiingiza makundi yanayofanya mambo hayo.

IGP Mangu alisema hayo jana katika  mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi wa Kiislamu katika kuimarisha usalama nchini yenye kauli mbiu isemayo ‘Amani na usalama ndio maisha...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Awapa Neno Wanaume Hawa

Ni rahisi sana kumpata mwanamke mzuri,mwenye shape unayoitaka,mwenye sura nzuri ,sauti nzuri,nk..But ni vigumu kumpata mwanamke ambaye ameanza moja na ww kuanzia huna kitu mpaka unacho.ni vigumu kumpata mwanamke ambaye uwe nacho usiwe nacho yupo na ww.Ni vigumu kumpata mwanamke mwenye mapenzi ya dhati..ila leo hii wanaume wengi wamekuwa wakiwathamini sana wanawake wale ambao wanawaita warembo na kuwasahau hawa ambao wameanza nao moja...inauma sana coz nimeona mifano...WANAUME MPO?!

Shamsa Ford

 

11 years ago

GPL

KILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0

Kikosi cha Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars'. TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao1-0 katika mechi iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Nyayo uliopo jijini Nairobi!

 

10 years ago

Vijimambo

STARS YAJIFUA ADDIS ABABA

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa katika mazoezi kwenye Uwanja wa  Addis Ababa uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaofanyika Juni 14, jijini Alexandria. (Picha kwa hisani ya TFF)


Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhamini na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo imeanza mazoezi katika uwanja wa  Addis Ababa zamani ukifahamka kama (Haille Sellsie) uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaopigwa Juni 14,...

 

10 years ago

Vijimambo

STARS YAENDELEA KUJIFUA ADDIS ABABA


Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro kimeendelea kujifua katika uwanja wa Benki ya Biashara ya Ethiopia eneo la CMC asubuhi na jioni katika uwanja wa Taifa wa Addis Ababa. Stars ambayo imeweka kambi jijini Addis Ababa imekua ikijifua mara mbili kwa siku, kuhakikisha wachezaji wanakua vizuri kuelekea katika mchezo dhidi ya timu ya Taifa Misri mwishoni mwa wiki hii jijini Alexandria.Hali ya kambi kiujumla ni nzuri, wachezaji wote ni...

 

10 years ago

Michuzi

STARS YAENDELEA KUJIFUA JIJINI ADDIS ABABA

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhamini na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo imeanza mazoezi katika uwanja wa  Addis Ababa zamani ukifahamka kama (Haille Sellsie) uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaopigwa Juni 14, jijini Alexandria.
Stars ambayo iliwasili jana jioni jijini Addis Ababa imefikia katika hoteli ya Debre Damo iliyopo eneo na 22 Mazoiria ambapo itakaa kambi kwa kipindi cha wiki moja kujiandaa na mchezo dhidi ya Mapaharao.
Kocha Mkuu wa...

 

9 years ago

Habarileo

Samatta atoa neno zito Stars

BAADA ya kufanikiwa kufunga bao moja katika ushindi wa mabao 2-0 ilioupata Stars ikiwa nyumbani dhidi ya Malawi, Mbwana Samata amesema, kama wachezaji wa Stars wangekuwa makini basi wangeweza kufunga mabao mengi zaidi kwenye mchezo huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani