JK AMPA DILI DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1crlC4bRStvSUJgtpATl4XmMEgQGOXdODng0iedSf4pwUt6AnPgHOAVYbY-sdsxJvpVp4Qyf-gXOrBfgDmfaKbDd/JK.jpg)
Stori: SHAKOOR JONGO Hii ni bahati ya mtende kuota jangwani! Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete anatajwa rais pekee anayetoa sapoti kwa wasanii ambapo safari hii amempa ulaji staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. akiwa kwenye meza moja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Mourinho ampa dili la mwaka Drogba
10 years ago
Bongo518 Nov
Diamond ampa shavu msanii wa ‘Barua kwa Diamond’ Meda
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QgTREgG9e-WnHzzAdYCvu7AEtaoqBxw8eVtw3ayuqddmxYqc2d42Gzkd5F07-vjJEedYdsLgisIZc1ag4t605FTPjrY5V53/FRONTIJUMAA.jpg)
ZARI AMPA DIAMOND GARI LA MIL.500
10 years ago
VijimamboNay wa Mitego Ampa 'Ukweli Mchungu' Diamond
Baada ya hapo jana msanii Diamond kumpondea kiana Nay wa Mitego kuhusu kile kilicho sababisha Nay na mpenzi wake Siwema watemane kuwa ni kwasababu Nay hajui kupetipeti, Nay wa Mitego nae ameibuka na dongo hili, mara baadaya kubandika pichi hiyo hapo juu."Jamani eeh?!! Embu tuongee ukweli, ivi uyu ndugu yetu @diamondplatnumz Angekua na hali iyo apo kwny picha, Je!? Ange weza kua na huyo Mwanamke apo @zarithebosslady na unadhani uyu #Zari angemkubali? Kama c vijisenti na huu umaarufu alio...
10 years ago
Vijimambo03 Jan
JOKATE: DIAMOND HANA AKILI TIMAMU....AMPA MAKAVU LAIVU KWEUPE
![](http://www.bongocelebrity.com/wp-content/uploads/2012/10/Jokate-2.jpg)
10 years ago
Bongo Movies14 Jan
Baada ya kushindwa kuzaa na Wema na Penny. Hatimaye Diamond 'ampa' ujauzito Zari
Baada ya sokosoko kuu la kwanini?? muda wote huu kijana Nassib Abdul – Diamond Platnumz pamoja na list yake ndeeeefu ya mabinti wa bongomovies aliowahi kutembea nao hajawahi kuwa hata na mtoto wa kusingiziwa, HATIMAYE jana kupitia kwenye nyezo za kiteknolojia tumeweza kudokezwa juu ya ujauzito alionao mwanadada ZARI ambao ni fika utakuwa wa kijana huyu anayetamba na wimbo wa “Nitampata wapi” ambao wachunguziwa mambo wanadai ETi ni dedication kwa mpenzi wake maarufu wa zamani.
USHAHIDI WA...
10 years ago
Vijimambo14 Jan
SOMO LA KONDOM JAMAA KA FALL KABISA HATIMAYE DIAMOND AMPA UJAUZITO ZARI
9 years ago
Bongo Movies15 Nov
Wastara Ampa Ampa Kichapo Bondi
KAZI ipo! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kumpa kichapo kikali aliyekuwa mwandani wake, Bond Suleiman baada ya kupatwa na kile kinachosemwa kuwa ni kupandisha majini.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, kupandisha majini hayo kulitokana na jinsi ambavyo mwanaume huyo amekuwa akimtendea mpenziwe huyo, ambaye inadaiwa katika kupandisha huko, alitoa maelekezo ya namna anavyotakiwa kufanya.
“Nakuambia ilikuwa varangati siku hiyo, Wastara alipandisha majini akiwa na Bond, walikuwa...