JK amteua Makalla kuwa RC
Na Mwandishi Wetu, Dar
RAIS Jakaya Kikwete, amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa wawili wapya na kuwahamisha wengine vituo vya kazi.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, ilisema Rais Kikwete amefanya uteuzi huo kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wakuu wa mikoa ambao wanawania ubunge.
Katika uteuzi huo, Rais Kikwete amemteua Amos Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Jordan Rugimbana kuwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
Aidha...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai

Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...
10 years ago
Mwananchi02 Dec
JK amteua Profesa Asaad kuwa CAG
10 years ago
Mwananchi30 Dec
JK amteua Dk Kusikuka kuwa Kamishna wa Ardhi
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Kikwete amteua Mwandosya kuwa Mkuu wa Chuo Must
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Magufuli amteua Majaliwa kuwa waziri mkuu
9 years ago
Mwananchi19 Nov
JPM amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu
5 years ago
CCM Blog
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Kikwete amteua Masikitiko kuwa bosi mpya TBS