Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JPM AMTEUA BAKARI MSULWA NA TBC1 KUWA DC WA MOROGORO


CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

JPM amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

Rais John Magufuli leo amewasilisha bungeni jina la Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya tano.

 

9 years ago

Dewji Blog

JK amemteua Profesa Muhammed Bakari Kambi kuwa Mganga Mkuu wa Serikali.

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Muhammed Bakari Kambi kuwa Mganga Mkuu wa Serikali

Taarifa iliyotolewa, Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue imesema kuwa uteuzi huo ulianza tokea Jumatano, Septemba 9, 2015.

Kabla ya uteuzi wake, Profesa Muhammed Bakari Kambi alikuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tiba na Afya Shirikishi cha Muhimbili, Dar es Salaam.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

 

9 years ago

Mtanzania

JK amteua Makalla kuwa RC

mos-MakalaNa Mwandishi Wetu, Dar

RAIS Jakaya Kikwete, amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa wawili wapya na kuwahamisha wengine vituo vya kazi.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, ilisema Rais Kikwete amefanya uteuzi huo kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wakuu wa mikoa ambao wanawania ubunge.

Katika uteuzi huo, Rais Kikwete amemteua Amos Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Jordan Rugimbana kuwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi.

Aidha...

 

10 years ago

Mwananchi

JK amteua Profesa Asaad kuwa CAG

Rais Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuanzia Novemba 5, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

JK amteua Dk Kusikuka kuwa Kamishna wa Ardhi

Rais wa Jakaya Kikwete amemteua Dk Moses Kusiluka (42) kuwa Kamishna Ardhi nchini.Taarifa iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, uteuzi huo ulianza Desemba 23.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi wa Morogoro mjini wamnunulia fomu Abood ili aendelee kuwa mbunge wao Jimbo Morogoro mjini

 

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh Aziz Abood akipokea michango ya wanafunzi waliojitokeza kumchangia mbunge huyu ili achukue fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi Mara baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wa Mbunge huyo ambaye amefanya mambo mengi ya maendeleo ikiwemo kuwalipia ada zaidi ya wanafunzi 500 wasiokuwa na uwezo wa kujilipia ada na wanaoishi katika mazingira magumu.

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh Aziz Abood, akipokea kiasi cha...

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli amteua Majaliwa kuwa waziri mkuu

Rais wa Tanzania John Magufuli amemteua mbunge wa Ruangwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa waziri mkuu mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani