JK anakubali kuiacha Tanzania kwenye maangamizi
MHESHIMIWA Rais Jakaya Kikwete, ni mtu mwema sana. Ndiyo maana alipotangazwa kuwa rais wa nchi yetu kwa mara ya kwanza wananchi karibu wote walishangilia bila kujali itikadi za vyama. Sina...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboSILAHA ZA MAANGAMIZI ZISIISHIE MIKONONI MWA MAKUNDI YA KIHALIFU —TANZANIA
Tanzania imetoa wito Kwa Jumuiya ya Kimataifa wa kuhakikisha inashirikiana kuhakikisha kwamba silaha za maangamizi zikiwamo za nyukilia haziiangukii mikono ya ...
10 years ago
MichuziUN Tanzania Waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Maadhimisho ya Wahanga wa Maangamizi Makuu ya Moto dhidi ya Wayahudi Jijini Dar leo
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Nyota watatu kuiacha Yanga karibuni
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Maangamizi
9 years ago
Habarileo12 Oct
Silaha za maangamizi
TANZANIA imetoa wito kwa Jumuiya ya Kimataifa wa kuhakikisha inashirikiana kuhakikisha kwamba silaha za maangamizi zikiwamo za nyuklia haziangukii mikononi mwa makundi ya kihalifu.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar10 Oct
Sauti:Othman Masoud:Maangamizi ya Zanzibar
The post Sauti:Othman Masoud:Maangamizi ya Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Kuuacha undugu ni dalili za kuyakaribisha maangamizi
YALIANZA kama masihara, mwanzoni mwa kipindi cha kwanza cha awamu ya pili ya uongozi wa nchi yetu, wawakilishi wetu, wabunge, kwa kusukumwa na kitu ninachoweza kukiita ibilisi wa umimi, wakaona...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vanfKzplWu-qeRd4s-FNH0PAwI3NBDfAtPiHFD81gR3OLus*65kQunDB9WQfTeecH4NqfSQuBX-Y3mZWFoVZTZ-4m*1rUI-Z/p.jpg)
Pluijm: Tambwe, Sherman wataongoza maangamizi
11 years ago
CloudsFM11 Jun
WASANII WAMWALIKA RAIS KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA ‘NAIAMINIA TANZANIA’,JUMAMOSI HII KWENYE UWANJA WA JAMHURI, DODOMA
Naiminia Tanzania ndiyo habari ya mjini, weekend hii siku ya Jumamosi ndani ya uwanja wa Jamhuri,Mkoani Dodoma wasanii wa fani mbalimbali hapa nchini wameandaa ufunguzi wa kampeni kubwa inayoitwa ‘Naiaminia Tanzania’.
Ambayo ni muendelezo wa ile ngoma yao ya miaka 50 ya tanzania, ambayo waliirekodi wasanii 50, wakashuti na video.Msanii wa Bongo Fleva,Mwana FA pamoja na Nikki Wa Pili watatoa speech mbele ya mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa...