Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK APIGA TIZI MARA TATU KWA SIKU KUIMARISHA AFYA YAKE

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazoezi leo katika viwanja vya Ikulu kufuatia ushauri wa madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili kuendelea kuimarisha afya yake baada ya kufanyiwa upasuaji mwezi uliopita katika hospitali ya Johns Hopkins nchini Marekani. 
Picha na Ikulu

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MOTO WA MWIGULU NCHEMBA WATUA MKOA WA MARA,APIGA MAJIMBO 5 KWA SIKU.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza akimnadi Mgombea wa Jimbo la Bunda Vijini.Mwigulu akizungumza na wanaserengeti amewaomba"Naomba mmchague Magufuli kwasababu tunazo sababu nyingi za kuhakikisha anakuwa Rais wa Tanzania,Magufuli yeye rafiki yake ni Kazi tu,Hivyo wananchi wamchague Mgombea Urais mwenye kusimamia kazi na shughuli za Maendeleo.Wanaserengeti wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi-Serengeti.
Hisia za Maandishi kwa Magufuli.Mwigulu Nchemba akisalimiana na
Wananchi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Dakika tatu na Edward Lowassa>> Urais 2015, kuhama Chama, Elimu TZ.. Afya yake na Ujumbe wake kwa CCM



Moja ya story kubwa kwenye siasa za TZ wiki iliyopita ilikuwa ishu ya CCM kuwafungulia makada wake sita ambao walikiuka kanuni za chama hicho kwa kutangaza kugombea Urais mapema kinyume na utaratibu wa chama hicho, mmoja ya waliokuwa wamefungiwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa.Jana kulikuwa na stori ya Naibu Waziri Mwigulu Nchemba kutangaza kugombea Urais wa TZ kupitia CCM.. leo Mbunge Edward Lowassa ameongea kuhusu mambo kadhaa ikiwemo hali ya afya yake,...

 

9 years ago

Global Publishers

Uhuru anapiga tizi dk 480 kwa siku Sauz

UhuruSeleman1Na Omary Mdose

UKIAMUA unaweza lakini lazima uwe umeshinikizwa na kitu fulani ili kufikia kilele cha mafanikio, kwani Uhuru Selemani sasa anafanya mazoezi kwa muda wa saa nane kwa siku huko Afrika Kusini.

Uhuru aliyewahi kucheza Coastal Union, Simba na Azam FC sasa anachezea Royal Eagles inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Afrika Kusini lakini analazimika kufanya mazoezi zaidi ili kupata nafasi fisrt eleven.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Uhuru ambaye yupo nchini kwa mapumziko, alisema...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe Alipompokea Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimpokea Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Tarehe 19 hadi 21 Machi, 2014.   Mhe. Membe akiwa katika mazungumzo na Binti Mfalme wa Sweden, Mtukufu Victoria Lugrid Alice Desiree mara baada ya kuwasili nchini.
Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upimaji afya mara kwa mara ni muhimu

AFYA ni hali ya kuwa vizuri kiakili, kimwili na kiroho. Ili uweze kumudu shughuli ulizonazo na kuishi miaka mingi unapaswa kuwa na afya bora. Vyote hivyo utavipata kama utakula chakula...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kupima afya mara kwa mara ni muhimu

Muhimu kumuona Daktari kwa ajili ya kujua afya

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) iliyofanyika Butiama.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la Maua katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani