Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK apongeza taasisi ya afya ya Ifakara

Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza mtafiti wa chanjo ya malaria na kiongozi wa watafiti wa Ifakara Health Institute (IHI) waliopo mjini Malabo, Equatorial Guinea, Dk Ally Olot wakati walipomtembelea jana. Wengine ni mtalaamu mratibu wa tafiti za chanjo ya malaria Dk Mwajuma Chemba (wa pili kulia) na mtaalamu wa maabara, utambuzi wadudu wa malaria Elizabeth Nyakarungu. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete amewapongeza watafiti wa taasisi ya Taasisi ya Afya Ifakara (IHI) kwa kuiletea sifa Tanzania katika fani ya utafiti nje ya nchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JAFO APONGEZA KAZI KUBWA INAYOFANYWA NA DC JOKATE KATIKA SEKTA YA ELIMU NA AFYA KISARAWE

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe Seleman Jafo amesema kukamilika kwa mradi wa maji wa Wilaya ya Kisarawe ulioigharimu Serikali kiasi cha zaidi ya Sh Bilioni 10, kutazidi  kukuza maendeleo ya wilaya hiyo ambayo kwa kipindi cha hivi karibuni imeshuhudiwa ikipiga hatua kubwa kupitia sekta za elimu pamoja na afya.

Akizungumza wakati akifungua kongamano la ‘Mama lishe’ lililowakutanisha mama lishe mbalimbali wilayani humo, Waziri Jafo  pia alitumia nafasi hiyo kumpongeza Mkuu wa Wilaya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Taasisi ya afya yashambuliwa Nigeria

Mlipuko umeripotiwa kutokea katika taasisi moja ya afya katika mji wa Kano ambao ni wa pili kwa ukubwa nchini Nigeria.

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA BENJAMIN MKAPA YAMWAGA AJIRA 307 ZA WATUMISHI WA AFYA.




Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akieleza jambo wakati wa kikao na Waandishi wa habari, kilichofanyika Jinjini Dodoma.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na Waandishi wa habari.

Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya Benjamin Mkapa Dkt. Ellen Mkondya akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari, katika Mkutano ulioongozwa na Waziri wa Afya leo Jijini Dodoma.



Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya JSI  yakabidhi pikipiki 10 kwa maafisa wa afya Unguja na Pemba

 

mahamod Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo (kushoto) akimkabidhi Pikipiki Afisa wa Afya wa Wilaya Nd. Khamis Daud Ali katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika Maruhubi.

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar

Jumla ya Pikipiki 10 zenye thamani ya Sh.Million 42 zimegawiwa kwa Maafisa 10 wa Afya wa Wilaya za Unguja na Pemba.

Pikipiki hizo ni Msaada kutoka Shirika la Watu wa Marekani USAID kupitia Taasisi ya JSI wenye lengo la kusaidia Sekta ya Afya Zanzibar. 

 Akikabidhi Pikipiki hizo Naibu...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YAPOKEA MSAADA KUTOKA TAASISI YA MILELE ZANZIBAR FOUNDATION

Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar 13/04/2020.
NAIBU Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman amewataka wananchi na Taasisi za kiraia kushirikiane na Serikali katika mapambano dhidi ya maradhi ya Corona.
Amesema mashirikiano ya pamoja kati ya wananchi na viongozi na kufuata maekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya yatasaidia kushinda vita dhidi ya maradhi hayo.  
Naibu Waziri wa Afya alitoa kauli hiyo baada ya kupokea msaada wa vifaa vya kujikinga na maradhi ya Corona kutoka Taasisi ya Milele...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atembelea taasisi ya afya ya Marekani (National Institute Of Health)

d1

President Jakaya Mrisho Kikwete with Reasearch fellow and Senior Lecturer at the Muhimbili University of Health Sciences, Dr Julie Makani (left) and Prof. Mwaikambo during his familiarisationtour of the National Institutes of Health (NIH) in Washington DC July 2, 2014.

d2

President Jakaya Mrisho Kikwete speaks with members of the National Institutes of Health (NIH) in Washington DC during a familiarisation tour of the NIH, reputedly the largest hospital and research facility in the world July...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA AMSIMAMISHA KAZI KAIMU MKURUGENZI WA TAASISI YA OCEAN ROAD DK.DIWAN MSEMO.


Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWAZIRI wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk.Diwani Msemo ili kupisha uchunguzi pamoja na mambo mengine ili kubaini  mgongano wa kimaslahi ulioathiri utendaji wa taasisi  hiyo chini ya kaimu mkurugenzi huyo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taasisi,Mashirika na Makampuni yaaswa kutumia sehemu ya faida wanayopata kusaidia Huduma za AFYA

image Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam(CBE) Prof.Emanuel Mjema(kushoto) akizungumza na viongozi  na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Kisarawe leo  kabla ya kukabidhi msaada wa  shuka 176 kusaidia wodi ya Wazazi ya hospitali hiyo.

Aron Msigwa -MAELEZO. [Kisarawe, PWANI]. Wito umetolewa kwa Taasisi, mashirika na makampuni kote nchini kujenga utamaduni  wa kutumia sehemu ya faida wanayoipata katika kuisaidia jamii kupitia sekta ya afya ambayo inakabiliwa na changamoto...

 

9 years ago

Michuzi

TAASISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YAASWA KUTUMIA SEHEMU YA FAIDA WANAYOPATA KUSAIDIA HUDUMA ZA AFYA.

  Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam(CBE) Prof.Emanuel Mjema(kushoto) akizungumza na viongozi  na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Kisarawe leo  kabla ya kukabidhi msaada wa  shuka 176 kusaidia wodi ya Wazazi ya hospitali hiyo. Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam(CBE) Prof.Emanuel Mjema(kushoto) akikabidhi msaada wa shuka 176 kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe Dkt.Martin Msokela (kulia) leo. Mashuka hayo yametolewa na chuo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani