Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK apuuza madai ya kumwokoa Ridhiwani nchini China

Ridhiwani KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema madai kuwa yeye alishiriki kumwokoa mtoto wake, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, baada ya kukamatwa na dawa za kulevya nje ya nchi, ni mkusanyiko wa upuuzi mtupu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA CHINA NCHINI NA MHE. MASELE WAZUNGUMZA JUU YA MKUTANO WA JUKWAA LA VIONGOZI VIJANA AFRIKA NA CHINA

Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Dr. Lu Youqing akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  juu ya mkutano wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, jijini Arusha.Kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira),Mhe. Stephen Masele.Balozi wa China hapa nchini, Mhe. Dr. Lu Youqing akipeana mkono na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais...

 

9 years ago

Mwananchi

Fifa kumwokoa Niyonzima

Sakata la kuvunjwa kwa mkataba wa kiungo Haruna Niyonzima na klabu yake, Yanga limechukua sura mpya baada ya kuelezwa kuwa kwa mujibu wa kanuni za Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), mchezaji huyo anaruhusiwa kujiunga na timu yoyote na kuendelea kuitumikia kipindi hiki licha ya dirisha la usajili kufungwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani:Tulipanga kumwokoa Somers

Marekani imesema ilijaribu kumwokoa raia wake Luke Somers, anayeshikiliwa mateka na al-Qaeda nchini Yemen.

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI 70 WA UHANDISI NA UDAKTARI KUONDOKA NCHINI SEPTEMBA 22, 2015 KWENDA KWA MASOMO NCHINI CHINA

Mkurugenzi wa Global Link Education (GEL) ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Abdulmaliki Mollel akitoa maelezo katika semina ya kuwajengea uwezo wazazi na wanafunzi wanaokwenda kusoma Vyuo Vikuu vya China leo katika ofisi zao zilizopo viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Wanafunzi wakilipia tisheti kwa ajili ya sare ya kutambuana wakati wa safari ya kwenda katika vyuo vya China katika semina ya kuwajengea uwezo wazazi na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU, NCHINI CHINA, AKUTANA NA MWENYEJI WAKE MAKAKU WA RAIS WA CHINA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili kwenye Ukumbi Maalum kwa watu wa China. 'Peoples Great Hall', jijini Beijing China kwa ajili ya mazungumzo rasmi, alipoalikwa kwenye chakula cha jioni na Makamu wa Rais wa China baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini humo. jana Mei 20, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE NCHINI CHINA AFAFANUA SABABU ZA KUBAGULIWA KWA BAADHI YA WAAFRIKA NCHINI HUMO


Mabalozi wa Nchi za Afrika wamekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China China Mhe. CHEN Xiaoding kuzungumzia changamoto zinazowakabili baadhi ya raia wa Mataifa ya Afrika katika Mji wa Guangzhou uliopo katika Jimbo la Guangdong.




Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

NAIBU Waziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya watu wa China Chen Xiaoding amekutana na mabalozi wa nchi za Afrika akiwemo balozi wa Tanzania nchini humo Mbelwa Kairuki na kufafanua taarifa na changamoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani