Fifa kumwokoa Niyonzima
Sakata la kuvunjwa kwa mkataba wa kiungo Haruna Niyonzima na klabu yake, Yanga limechukua sura mpya baada ya kuelezwa kuwa kwa mujibu wa kanuni za Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), mchezaji huyo anaruhusiwa kujiunga na timu yoyote na kuendelea kuitumikia kipindi hiki licha ya dirisha la usajili kufungwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Marekani:Tulipanga kumwokoa Somers
11 years ago
Habarileo05 Aug
JK apuuza madai ya kumwokoa Ridhiwani nchini China
RAIS Jakaya Kikwete amesema madai kuwa yeye alishiriki kumwokoa mtoto wake, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, baada ya kukamatwa na dawa za kulevya nje ya nchi, ni mkusanyiko wa upuuzi mtupu.
5 years ago
GIVEMESPORT24 Feb
Even the best FIFA player in the world knows that FIFA 20 is rubbish
9 years ago
Habarileo18 Dec
Niyonzima asimamishwa
UONGOZI wa Yanga umemsimamisha kiungo wake Haruna Niyonzima kwa muda usiojulikana. Niyonzima ambaye ni raia wa Rwanda alichelewa kuungana na wenziwe baada ya kutoka mapumziko bila kutoa taarifa zozote mpaka juzi aliporudi akiwa amefunga bandeji ngumu (P.O.P) mguuni kwa madai aliumia kwenye michuano ya Kombe la Chalenji Ethiopia alipokuwa akiichezea timu yake ya taifa.
9 years ago
Habarileo15 Dec
Niyonzima aichefua Yanga
KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm amesema amekasirishwa na kitendo cha mchezaji wake Haruna Niyonzima kuchelewa kuungana na wenzake kwa ajili ya michezo ya ligi huku akishindwa kabisa kutoa sababu zilizomfanya kuchelewa huko.
10 years ago
TheCitizen14 Jun
We want to tame the Mambas, says Niyonzima
11 years ago
TheCitizen27 Jul
We still have a chance, says skipper Niyonzima
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Azam FC yamfuata Niyonzima
9 years ago
Habarileo29 Dec
Niyonzima kwaheri Yanga
KLABU ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na mchezaji wake Haruna Niyonzima baada ya kudaiwa kuvunja sheria na taratibu za muajiri wake. Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Jerry Muro kwa vyombo vya habari jana, Niyonzima pia atatakiwa kuilipa klabu hiyo dola za Marekani 71,175 kufidia gharama ambazo imezitumia katika kumuongezea mkataba wake mpaka mwaka 2017.