Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK atembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Mkoa wa Pwan


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mmoja wa baadhi ya abiria waliokwama baada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya na mafuriko
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza wakikagua athari za mafuriko zilizoharibu vibaya barabara ya Chalinze- Dar es Salaam eneo la Ruvu Darajani leo.Mamia ya abiria walikuwa wamekwama kutokana na mafuriko hayo


i Rais akisalimiana na kuzungumza na wanafunzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Jk atembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Mkoa wa Pwani

unnamed (17)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mmoja wa baadhi ya abiria waliokwama baada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya na mafuriko.

unnamed (18)

Rais akisalimiana na kuzungumza na wanafunzi na mtoto aliyemfuata na kumsalimia.

unnamed (19)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete wakikagua athari za mafuriko maeneo ya Ruvu Darajani na Visiga.

unnamed (20)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar atembelea eneo la mafuriko mkoani morogoro

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadiq akimshukuru mmoja wa wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam Rumin Shar kutoka kampuni ya Pan Africa Enterprises Ltd baada ya Kampuni yao kutoa magodoro 200 aina ya Comfy kwa ajiri ya ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea wiki iliyopita eneo la Dakawa mkoani humo na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kuwaacha mamia bila makazi. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akimweleza kwa kina hali ilivyokuwa baada ya kutokea kwa mafuriko Mkuu wa Mkoa wa Dar...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFANYA ZIARA MAENEO YALIYOKUMBWA NA MAAFA YA MVUA, ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na wasaidizi wake alipofika Uwanja wa Farasi na Kwahani Mjini Zanzibar leo wakati alipofanya ziara ya hafla kutembelea wananchi wa sehemu hiyo waliopatwa na maafa ya kuingiliwa na maji ya mvua iliyonyesha juzi na kupelekea maafa yaliyosababisha kukosa makaazi bora.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi wa Uwanja wa Farasi na Kwahani Mjini Zanzibar...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA MBEYA DKT.MARRY MWANJELWA ATEMBELEA NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYANI KYELA

 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mpunguti wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, alipoenda kuwapa pole ya mafuriko na kukabidhi mashuka 150 katika Vijiji vya Mpunguti na Nyerere wilayani humo jana.  Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akikabidhi mashuka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Mpunguti wilayani Kyela jana,  alipotembelea waathirika wa mafuriko wilayani humo na kutoa mashuka 150 katika Vijiji vya Mpunguti...

 

10 years ago

StarTV

Baadhi ya maeneo Dar yakumbwa na mafuriko.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar Es Salaam.

 

Watu wawili wamefariki katika meeneo ya Sinza na Mwananyamala jijini Dar es Salaam kufuatia mvua iliyonyesha na kusababisha baadhi ya nyumba kujaa maji yaliyotokana na mafuriko.

 

Taarifa ya vifo hivyo imethibitishwa na kamanda wa polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni Kinondoni kamishina msaidizi wa Polisi Camilius Wambura.

 

Maeneo yaliyoathiriwa zaidi na Mvua hiyo ni yale ya Wakazi waliojenga nyumba zao maeneo ya Mabondeni ikiwamo kati kati ya Jiji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani