Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ateta na Rais Mutharika

RAIS Jakaya Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Rais mpya wa Malawi, Peter Mutharika, mazungumzo yaliyofanyika katika mazingira ya udugu na urafiki Jumatano wiki hii. Kwa mujibu wa Kurugenzi ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ateta na Rais wa Zamani wa Nigeria,Olusegun Obasanjo jijini Addis Ababa

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo jijini Addis Ababa Ethiopia leo wakati wa kikao maalum kilichojadili hali ya usalama Barani Afrika.Rais Kikwete aliwasili nchini Ethiopia jana kuhudhuria kikao cha wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika(African Union) AU.(picha na Freddy Maro)

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MALAWI PROFESA PETER MUTHARIKA JIJINI WASHINGTON DC, MAREKANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika aliyemtembelea kumjulia hali kwenye hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC, Marekani, ambapo wote walikuwa wamefikia. Rais Kikwete na Rais Mutrharika, ambao walikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi, ambapo...

 

11 years ago

Mwananchi

Prof Mutharika Rais Malawi

Mgombea urais wa Chama cha Democratic Progressive Party (DPP) nchini Malawi, Profesa Peter Mutharika, ametangazwa kuwa rais wa nchi hiyo baada ya kuwashinda wagombea wengine.

 

11 years ago

Mwananchi

Harusi ya Rais Peter Mutharika yafana

Ilikuwa ni nderemo na vifijo katika mji wa Blantyre nchini Malawi baada ya Rais Peter Mutharika wa nchi hiyo kufunga ndoa na Gertrude Maseko.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Mutharika amlilia mwandishi wa BBC

Rais Peter Mutharika wa Malawi ametuma salam za rambirambi kutokana na kifo cha mwandishi wa BBC Raphael Tenthani

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ateta na Wasanii Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisistiza jambo wakati akizungumza na msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz ikulu ndogo mjini Dodoma wakati chakula cha usiku alichowaandalia wasanii walioshiriki katika tamasha la Uzalendo na Uzinduzi wa Video ya wimbo maalum wa miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma jumamosi.Kulia ni mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza kwa makini...

 

11 years ago

BBCSwahili

Peter Mutharika ndie rais mteule Malawi

Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya mivutano ya kisheria kwa wiki nzima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani