Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK kufungua mkutano wa Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Kikwete anatarajia kufungua mkutano wa Kanda ya Afrika kuhusu Mpango wa Uendeshaji wa  Shughuli za Serikali kwa uwazi (OGP).
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu inaeleza kuwa mkutano huo wenye kauli mbiu isemayo “Kuimarisha Utawala Bora Unaozingatia Uwajibikaji na Uwazi” utafanyika Mei 20 hadi 21, 2015 katika ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Aidha, imeeleza kuwa dhumuni la  mkutano huo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kikwete: Asasi zifanye shughuli kwa uwazi

Rais Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa siku mbili wa Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete amesema kuna umuhimu wa asasi za kiraia, kufanya shughuli zao kwa uwazi ili kuwapa fursa wananchi kujua shughuli wanazofanya kwa niaba yao.

 

5 years ago

Michuzi

Majaliwa Kufungua Mkutano wa Mawaziri SADC kwa Njia ya Video


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Kanali Wilbert Ibuge akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Mabadiliko ya mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC utakao fanyika kwa njia ya Mfumo wa Video kufuatia mripuko wa ugonjwa wa Corona (COVID-19) ambao kwa sasa umeikumba nchi ya Afrika ya Kusini ambayo pia ni Nchi mwananchama wa Jumuiya ya SADC.


Naibu Katibu Mtendaji wa Maswala ya Ushirikiano wa Kikanda (SADC) Thembinkosi Mhlongo...

 

10 years ago

GPL

MR. UWAZI AGAWA SUKARI KWA WASOMAJI WA ‘UWAZI MIZENGWE’ DAR

Msomaji wa Uwazi Mizengwe akipokea zawadi ya mfuko wa sukari eneo la stendi ya daladala ya Makumbusho, Kijitonyama. Mteja wa Uwazi Mizengwe (kushoto mwenye mkoba) kabla ya kununua gazeti katika meza ya muuza magazeti eneo la Mwenge.…

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI NA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI ZATAKIWA KUFANYA KAZI KWA UWAZI.

 Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Mkuchika akizungumza wakati wa kufunga mkutano wa uwazi na kusikilizana kati ya Serikali na taasisi zisizo za kiserikali barani Afrika mkutano uliofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.  Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Issah Mwambene akichangia  kwa upande wa serikali kuwa serikali ya Tanzania ni sikivu, wakati wa mkutano wa Uwazi na usikivu katika mambo ya uchumi...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AMUWAKILISHA DK. SHEIN KUFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MUZIKI KWA NCHI ZA JAHAZI

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwamuwakilisha Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, katika ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa muziki kwa nchi za jahazi, inaofanyika chuo cha muziki Forodhani Zanzibar.Mkurugenzi wa Chuo cha Muziki Zanzibar bibi Fatma Kilua, akimkaribisha mgeni rasmi Maalim Seif katika ufunguzi za mkutano huo.
Muandaaji wa mkutano huo Profesa Raymond Vogals, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi. Baadhi ya washiriki...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe awasili Arusha tayari kwa kufungua mkutano wa vijana viongozi wa China na Afrika Ngurudoto

13

14

Rais wa Zimbabwe Mh. Robert Mugabe akishuka kwenye Ndege wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro International Airport (KIA) tayari kwa kufungua mkutano wa Vijana Viongozi wa Afrika na China (African- China Young Leaders Forum) unaofanyika kwenye hoteli ya Ngurudoto Mkoani Arusha kwa siku 4 ukijumuisha vijana kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika na China, Mzee Robert Mugabe amepokelewa na Makamu wa Rais Mh. Dr. Gharib Bilal kulia na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani