Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK kukabidhiwa Katiba leo

HISTORIA inaandikwa nchini kutokana na kukamilika kwa sehemu kubwa ya mchakato wa kutengeneza Katiba mpya kutokana na leo Katiba Inayopendekezwa kukabidhiwa kwa Rais kabla ya ngwe ya mwisho ya kura ya maoni. Tukio hilo la kihistoria linafanyika mjini Dodoma likitarajiwa kuhudhuriwa na watu wa kada tofauti wakiwamo mabalozi wa nchi karibu zote ambao wamealikwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBA ILIYOPENDEKEZWA KUKABIDHIWA OKTOBA 08, 2014 KATIKA UWANJA WA JAMHURI MKOANI DODOMA


  Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt, Rehema Nchimbi akitoa ufafanuzi kuhusu makabidhiano ya Rasimu ya katiba yatakayofanywa kati ya viongozi wa Bunge maalumu la katiba watakao kabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Jakaya Kikwete na wa Zanzibar Dkt Mohamed Sheni kwa waandishi wa habari, makabidhiano hayo yatafanyika Oktoba 08, 2014 katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.(Picha na John Banda wa Pamoja Blog)  Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa...

 

10 years ago

Habarileo

Spika kukabidhiwa ripoti ya IPTL leo

BAADA ya vuta nikuvute, hatimaye Waziri Mkuu, Mizengo Pinda atakabidhi ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu fedha za Akaunti ya Escrow kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, Dodoma leo.

 

10 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa wa milipuko Kilimanjaro Express kukabidhiwa Tanga leo

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Juma NdakiMKAZI wa mtaa wa Kitianjala mkoani Arusha, Efatar Molel (45) anatarajiwa kukabidhiwa kwa Jeshi la Polisi mkoa wa Tanga leo(kesho) kwa tuhuma za kusafirisha milipuko isivyo halali.

 

11 years ago

Michuzi

UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA: Sekretarieti ya Bunge la Katiba kukabidhiwa Ukumbi Jumatano

Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akijaribu mojawapo ya viti vipya vilivyofungwa katika ukumbi wa Bunge tayari kwa ajiri ya Matumizi wakati wa Bunge la Katiba. Mhe. Makinda aliongoza ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Bnge kufanya ukaguzi wa mwisho kabla ukumbi huo haujakabidhiwa kwa Sekretariat ya Bunge la Katiba Jumatano wiki hii. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kukagua ukumbi huo. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda, (katikati) Naibu Spika Mhe....

 

9 years ago

CCM Blog

VIDEO MBALIMBALI, WAKATI WA HAFLA YA DK. MAGUFULI NA MAMA SAMIA KUKABIDHIWA VYETI YAO VYA USHINDI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

1. Hafla ya kutangazwa rasmi mshindi wa urais 2015 kutokaa ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar Es Salaam; Washiriki wa mbio za urais wa vyama vya siasa pamoja na viongozi mbalimbali katika hafla za kutangazwa mshindi wa urais 2015; BOFYA HAPA 
2. MKurugenzi wa NEC Ramadhan Kailima akitoa tathmini ya mchakato wa uchaguzi mkuu mwaka 2015;
BOFYA HAPA 
3. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu, Damian Lubuva akitoa taarifa za matokeo ya uchaguzi 2015 katika hafla ya kutangazwa mshindi wa urais 2015;
 BOFYA...

 

10 years ago

Michuzi

Bunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...

 

10 years ago

Michuzi

RASIMU KATIBA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI LEO KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, leo 24 Septemba, 2014. Kulia ni mjumbe wa Bunge hilo, Dkt. Tulia Ackson. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani