Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Sakata la gazeti la The EastAfrican linashughulikwa

Rais Jakaya Kikwete amesema suala la kupigwa marufuku kusambazwa kwa gazeti la The EastAfrican Tanzania, linafanyiwa kazi na taratibu zote zikikamilika, litaruhusiwa

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Serikali yafungia gazeti la The EastAfrican

Gazeti la The EastAfrican limepigwa marufuku kusambazwa Tanzania, ikiwa ni miaka 20 baada ya kuanzishwa kwake kwa ajili ya kuandika habari za ukanda wa Afrika Mashariki.

 

10 years ago

Vijimambo

Ukweli wa Sakata Zima la Richmond Na Jinsi Lowassa Alivyohusishwa na Sakata Hilo


Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amefunguka na kueleza ukweli halisi wa sakata zima la Richmond lililomfanya achukue uamuzi wa kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mwaka 2008.Katika maojiano maalumu na Mpekuzi,Lowassa amewaka wazi kuwa anapata shida kujua kama tupo makini kusimamia ipasavyo mambo yanayohusu maisha yetu,kwani masihara ya kisiasa yaliyoratibiwa na baadhi ya wabunge ndiyo yaliyosababisha serikali ...

 

10 years ago

BBCSwahili

The EastAfrican lapigwa marufuku TZ

Tanzania imepiga marufuku kuchapishwa na kusambazwa kwa gazeti la kila wiki la The EastAfrican kwa mada ya kutosajiliwa

 

10 years ago

Mwananchi

EU yalaani kufungiwa The EastAfrican

>Siku nne baada ya gazeti  la The EastAfrican kufungiwa kwa madai halijasajiliwa nchini Tanzania, Umoja wa Ulaya (EU) umelaani kwa maelezo uamuzi huo  unaonyesha walakini uliopo katika suala la uhuru wa habari nchini.

 

10 years ago

TheCitizen

Unban ‘The EastAfrican’: call

The East African Law Society (Eals) has pleaded with the Tanzanian government to lift the ban it imposed recently on the circulation of The EastAfrican newspaper.

 

10 years ago

TheCitizen

EU criticises ban on ‘The EastAfrican’

Dar es Salaam. The European Union has expressed its concern about press freedom in Tanzania after the government banned the circulation of the regional weekly The EastAfrican last week.

 

10 years ago

TheCitizen

US speaks out against ban on ‘The EastAfrican’

>The United States has expressed its concern about the decision by the Tanzanian government to ban the circulation of the regional weekly The EastAfrican.

 

10 years ago

Vijimambo

The EastAfrican lapigwa marufuku Tanzania

Gazeti la The EastAfrican lapigwa marufuku Tanzania
Serikali ya Tanzania imepiga marufuku kuchapishwa na kusambazwa kwa gazeti la kila wiki la The EastAfrican kwa madai ya kuwa halijasajiliwa nchini humo.

Hata hivyo Wilfred Kiboro, mwenyekiti wa kampuni ya Nation Media Group, wachapishaji wa gazeti hilo la lugha ya kiingereza, ameeleza kuwa adhabu hiyo haikutarajiwa na wala haistahili na kubainisha kuwa wamekuwa wakisambaza gazeti hilo Tanzania kwa miaka 20 bila matatizo.

Kampuni ya Nation...

 

10 years ago

TheCitizen

‘The EastAfrican’ ban angers IPI

>The International Press Institute (IPI) has condemned the government’s ban on the regional weekly The EastAfrican.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani