JK, Ukawa leo, makanisa yaonya
>Wakati Rais Jakaya Kikwete akikutana na viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ili kuzungumzia mchakato wa Katiba, Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF), limesema amani ya nchi iko mikononi mwa kiongozi huyo mkuu wa nchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog25 Aug
Makanisa Singida yaonya matusi na ubaguzi Bungeni
Askofu wa kanisa la Evanglist Assembels of God Tanzania (E.A.G.T) Singida mjini, John Mafwimbo akizungumza kwenye mkutano wa Injili uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Ukombozi mjini Singida.Pamoja na mambo mengi, askofu Mafwimbo amewasihi wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, kufanya mambo waliyotumwa na Watanzania na si vinginevyo.
Na Nathaniel Limu, Singida
Makanisa ya Kipentekoste mkoani Singida, yameungana na Watanzania wengine kuwaomba wajumbe wa Bunge Maalum la kuandaa Katiba...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC00479.jpg)
MAKANISA SINGIDA YAONYA MATUSI NA UBAGUZI BUNGENI
10 years ago
Habarileo09 Sep
Makubaliano ya JK, Ukawa leo
MAZUNGUMZO kati ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa, yamefanyika vizuri katika Ikulu ndogo ya Dodoma na kufikia makubaliano katika baadhi ya maeneo.
9 years ago
StarTV29 Aug
Ukawa leo Jangwani
![Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mngurumi](http://www.habarileo.co.tz/images/resized/images/isaya-mngurumi_210_120.jpg)
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mngurumi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kushirikiana na muungano wa vyama vingine vitatu vinavyounda umoja uliobatizwa jina la Ukawa, leo kinatarajiwa kuzindua kampeni zake katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.
Chama hicho kimetamba kufanya ufunguzi wa kampeni wa kihistoria.
Hatua hiyo imekuja baada ya chama hicho kuruhusiwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mngurumi, kutumia uwanja huo ambao awali...
10 years ago
Mtanzania12 Feb
Ukawa, NEC hapatoshi leo
Na Arodia Peter, Dar es Salaam
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) pamoja na vyama vya siasa, leo wanatarajia kukutana katika kikao cha pamoja ambacho kinaweza kuibua hoja kali kutoka miongoni mwa wadau.
Hatua hiyo inatokana na uamuzi wa Bunge uliotolewa Februari 4, mwaka huu baada ya Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, kutaka shughuli za Bunge ziahirishwe ili kuweza kujadili hatua ya NEC kuanza uboreshaji wa daftari la kudumu la wapigakura kwa kutumia...
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://1.bp.blogspot.com/-zXPgTBxOXl0/ViKPP4U4j5I/AAAAAAAAWk8/qqwcafm1YC8/s72-c/12088121_408382826020988_526534902756344926_n.jpg)
9 years ago
Mwananchi29 Aug
Ukawa waanza kazi Jangwani leo
11 years ago
Tanzania Daima12 May
UKAWA wamkamia Waziri Maghembe leo
SIKU moja baada ya mmoja kati mawaziri wanaotajwa kuwa mizigo, Christopher Chiza, kupata wakati mgumu kupitisha bajeti ya wizara yake ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni...
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Ukawa ruksa kuunguruma leo Zanzibar