Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makubaliano ya JK, Ukawa leo

Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) alipokutana nao kwenye Ikulu ndogo mjini Dodoma jana. (Picha na Ikulu).MAZUNGUMZO kati ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa, yamefanyika vizuri katika Ikulu ndogo ya Dodoma na kufikia makubaliano katika baadhi ya maeneo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wasaini rasmi makubaliano

Viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana walifikia maridhiano ya kusimamisha mgombea mmoja katika ngazi ya udiwani atakayeungwa mkono na vyama vinne vinavyounda umoja huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Waliokiuka makubaliano ya Ukawa kuwajibishwa

Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema umoja huo utafanya tathmini ya maeneo ambayo wangeweza kushinda kwa kusimamisha mgombea mmoja kila eneo ili kuwachukulia hatua viongozi waliokiuka makubaliano hayo.

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema ‘yavunja’ makubaliano Ukawa

Chama cha Chadema kimeviasa vyama vinavyounda Ukawa kuacha malumbano kuhusu majimbo na badala yake kila kimoja kisimamishe mgombea wake kwa yale yaliyo na misuguano.

 

10 years ago

Dewji Blog

Makubaliano ya JK na ukawa ni haya hapa

john-cheyo

Mwenyekiti wa TCD, John Cheyo.

.katiba ya zamani kufanyiwa marekebisho

.Ni kuruhusu tume huru na mgombea binafsi

.Ni makubaliano ya viongozi wa vyama vya siasa

Na Lukwangule Blog

KATIBA inayotumika sasa ya mwaka 1977 itafanyiwa marekebisho muhimu kupisha uchaguzi mkuu ujao, na Rais ajaye ataamua hatima ya katiba mpya ya Tanzania.

Hayo yametamkwa leo na Mwenyekiti wa TCD, John Cheyo akizungumza na waandishi wa habari .

Kwa matamko ya Cheyo mchakato wa kuandika katiba umesitishwa.

Cheyo...

 

10 years ago

GPL

MATUKIO YA MAKUBALIANO KUSHIRIKIANA KWA UKAWA JANGWANI

Prof. Lipumba akihutubia umati uliofika Jangwani. Dk. Slaa akinyoosha mkono kuonyesha ishara ya tatu.…

 

10 years ago

GPL

MZEE CHILLO AGOMA KUZUNGUMZIA MAKUBALIANO YA UKAWA

Stori: Gabriel Ng’osha
MKONGWE katika filamu za Bongo, Ahmed Ollutu ‘Mzee Chillo’ amefunguka kuwa yeye si mwanasiasa hivyo hawezi kuzungumza chochote juu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Akijibu swali la mwandishi wetu baada ya kuulizwa anazungumziaje kitendo cha Ukawa kusaini makubaliano ya kusimamisha Mkongwe katika filamu za Bongo, Ahmed Ollutu ‘Mzee Chillo’. mgombea mmoja mmoja...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Makubaliano ya UKAWA lazima yawe zaidi kutaka kuing’oa CCM

MOJAWAPO ya mambo ambayo baadhi yetu hatukuyachangamkia sana ni Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ambao ulikuja kama mwamko (movement) ya kupinga kile ambacho wajumbe wake waliona ni utekaji wa...

 

10 years ago

Vijimambo

UKAWA WASAINI MAKUBALIANO MAPYA, NI KUACHIANA KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Viongozi wa vuguvugu la Katibaya Wananchi, (UKAWA), wakionyesha hati ya makubaliano baada ya kutia saini leo Jumanne Novemba 4, 2014 kwenye ofisi za makao makuu ya CUF, Buguruni jijini Dar es Salaam. Chini ya makubaliano hayo, yaliyohusisha vyama vinne, CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, yataanza kutekelezwa kwenye uchaguzi wa serikjali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu ambapo, UKAWA utamsimamisha mgombea anayekubalika kwenye eneo husika bila ya kujali chama. Hata hivyo...

 

11 years ago

Michuzi

hati ya Makubaliano ya Muungano ilivyowasilishwa Bungeni Mjini Dodoma, "UKAWA" wasusia kikao

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Samia Suluhu Hassan akionesha nakala ya Hati ya Makubaliano ya Muungano iliyothibitishwa Bungeni leo mjini Dodoma.
Juu na chini ni Wajumbe wa Bunge  Maalum la Katiba ambao wanaounga mkono mfumo wa  Serikali za tatu wakitoka katika Ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma baada ya kususia kikao.Picha na Idara ya Habari-MAELEZO

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani