JOH MAKINI APIGA KOLABO NA MSANII CHIDINMA WA NIGERIA
Wiki iliyopita Mkali wa Hip Hop, John Makini kutoka kampuni ya Weusi alidondoka Jijini Nairobi kwa ajili ya dili la kurekodi kipindi cha Coke Studio, kwenye ‘live performance’ John Makini alishare stage moja na mwanadada kutoka Nigeria Chidinma ambaye amewahi kunyakua tuzo za Nigeria Music Video Aawards pamoja na Kora Awards pia amewahi kuwa nominated kwenye tuzo za MTV na Chanel O music video awards, harakati za Joh wakamvuta Chidinma mpaka studio za R.K na kurekodi ngoma.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo515 Jul
Joh Makini afanya collabo na msanii wa kike wa Nigeria Chidinma, amwimbisha Kiswahili
11 years ago
Bongo507 Jul
Picha: Joh Makini ala shavu la Coke Studio Africa, ataperform na Chidinma wa Nigeria
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QJ7C9DpUpiY/Xk0ysw5WI8I/AAAAAAALeUg/lvrszk_brwEz-xYP8ryikCaFEwZi40oDQCLcBGAsYHQ/s72-c/images%2B%25282%2529.jpeg)
JOH MAKINI AKANUSHA KUMNYIMA KOLABO DIAMOND PLATINUM
![](https://1.bp.blogspot.com/-QJ7C9DpUpiY/Xk0ysw5WI8I/AAAAAAALeUg/lvrszk_brwEz-xYP8ryikCaFEwZi40oDQCLcBGAsYHQ/s640/images%2B%25282%2529.jpeg)
Akizungumza na kituo kimoja cha redio hapa nchini joh makini amesema habagui kufanya kazi na wasanii wowote na yupo tayari kufanya kazi nao na kutaka taarifa hizo zipuuzwe japo anajua kuwa nani alizisambaza mitandaoni.
"Ikitokea nimefanya kazi nae nadhani itakua nzuri kutokana na uwezo wake na ni miongoni mwa...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/Joh-makini.jpg)
JOH MAKINI ATOBOA SIRI YA KOLABO YAKE NA DAVIDO
10 years ago
GPLMSANII JOH MAKINI ALIVYOWAPAGAWISHA MASHABIKI KWENYE TAMASHA LA COKE STUDIO, COCO BEACH
9 years ago
Bongo511 Nov
Sio kwamba kila msanii wa nje tutampapatikia kufanya naye collabo — Joh Makini
![Johmakini.1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Johmakini.1-300x194.jpg)
Ni karibia saa 24 toka mashabiki wa muziki wa Afrika waishuhudie kwa mara ya kwanza video ya wimbo mpya wa rapper wa Tanzania Joh Makini ‘Don’t Bother’ ambayo kamshirikisha rapper wa Afrika Kusini AKA iliyotambulishwa kwa mara ya kwanza na MTV Base Nov.10.
Ni wazi kuwa collabo hiyo itawasaidia Joh Makini na AKA kuongeza mashabiki wapya kutokana na kwamba wote ni wasanii wakubwa kwenye nchi zao na tayari wana fanbase kubwa, lakini Joh Makini pia ametoa maoni yake juu ya mitazamo ya watu...
10 years ago
Bongo510 Feb
Nay wa Mitego atenga milioni 60 kukamilisha kolabo na msanii wa Nigeria
9 years ago
Bongo514 Nov
Unapenda kufahamu collabo ya Joh Makini na Davido imefikia wapi? Joh afunguka
![joh davido](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/joh-davido-300x194.jpg)
Kama unawasiwasi juu akiba ya collabo za kimataifa alizonazo John Simon Mseke a.k.a Joh Makini, ondoa hofu kwasababu ile collabo yake na nyota wa Nigeria, David Adedeji Adeleke a.k.a DaVIDO imeshaingizwa kwenye computer ya studio ya The Industry.
Davido anamkubali sana Joh Makini, na alithibitisha hilo September 18, 2015 alipovujisha taarifa ambayo muda wake ulikuwa bado, kuhusu yeye na rapper wa ‘Don’t Bother’, Joh Makini kufanya collabo.
Bongo5 ilipomtafuta Joh Makini wakati huo...
5 years ago
Bongo Movies02 Mar
VideoMPYA: Nikki wa II ft. Joh Makini & S2kizzy ‘hesabu’ Joh Mwalimu.. Wanafunzi ni Ebitoke, Ben Pol, Quick na wengine
Unakaribishwa kuitazama ngoma mpya ya Nikki wa Pili ambayo amewashirikisha Joh Makini na S2Kizzy inaitwa ‘hesabu’ ambapo humo ndani Joh Makini amecheza kama Mwalimu huku Wanafunzi darasani wakiwa ni Ebitoke, Ben Pol, Quick Rocka, Linah na wengine