Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOH MAKINI AKANUSHA KUMNYIMA KOLABO DIAMOND PLATINUM

         Na Khadija seif, Michuzi TvMKALI wa Muziki wa hiphop kutoka kaskazini John Makini akanusha tetesi zilizozaga mitandaoni siku za nyuma kuwa alimnyima kolabo Diamond platnum.
Akizungumza na kituo kimoja cha redio hapa nchini joh makini amesema habagui kufanya kazi na wasanii wowote na yupo tayari kufanya kazi nao na kutaka taarifa hizo zipuuzwe japo anajua kuwa nani alizisambaza mitandaoni.
"Ikitokea nimefanya kazi nae nadhani itakua nzuri kutokana na uwezo wake na ni miongoni mwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

JOH MAKINI APIGA KOLABO NA MSANII CHIDINMA WA NIGERIA

Wiki iliyopita Mkali wa Hip Hop, John Makini kutoka kampuni ya Weusi alidondoka Jijini Nairobi kwa ajili ya dili la kurekodi kipindi cha Coke Studio, kwenye ‘live performance’ John Makini alishare stage moja na mwanadada kutoka Nigeria Chidinma ambaye amewahi kunyakua tuzo za Nigeria Music Video Aawards pamoja na Kora Awards pia amewahi kuwa nominated kwenye tuzo za MTV na Chanel O music video awards, harakati za Joh wakamvuta Chidinma mpaka studio za R.K na kurekodi ngoma.

 

9 years ago

GPL

JOH MAKINI ATOBOA SIRI YA KOLABO YAKE NA DAVIDO

Staa wa Hip Hop Bongo anayewakilisha Kundi la Weusi, John Simon ‘Joh Makini’ Staa wa muziki kutoka Nigeria, David Adeleke ‘Davido’ STAA wa Hip Hop Bongo anayewakilisha Kundi la Weusi, John Simon ‘Joh Makini’ ametoboa siri ya kolabo yake na staa wa muziki kutoka Nigeria, David Adeleke ‘Davido’ kuwa Davido ndiye alikuwa na shauku ya kufanya naye kolabo na kumtafuta kwenye mitandao ya kijamii. Akichonga na Showbiz,...

 

9 years ago

MillardAyo

Wanaomtaka Joh Makini kimataifa? Diamond na Nahreel kuhusu ‘Nana’? Simba ya Mr. Blue na Diamond? (+Audio)

Kama ulipitwa na stori kubwa tatu kwenye 255 iliyosikika kwenye show ya XXL Clouds FM, ninazo hapa za Joh Makini, Diamond na Afande Sele. Joh Makini kwenye level za kimataifa sasahivi… rapper huyo amesema kuna majina makubwa ya wanaotaka collabo ila hawezi kuyataja japo kwenye majina hayo yupo Davido pia kutoka Nigeria. Nahreel aliwahi kuzungumzia […]

The post Wanaomtaka Joh Makini kimataifa? Diamond na Nahreel kuhusu ‘Nana’? Simba ya Mr. Blue na Diamond? (+Audio) appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Unapenda kufahamu collabo ya Joh Makini na Davido imefikia wapi? Joh afunguka

joh davido

Kama unawasiwasi juu akiba ya collabo za kimataifa alizonazo John Simon Mseke a.k.a Joh Makini, ondoa hofu kwasababu ile collabo yake na nyota wa Nigeria, David Adedeji Adeleke a.k.a DaVIDO imeshaingizwa kwenye computer ya studio ya The Industry.

joh davido

Davido anamkubali sana Joh Makini, na alithibitisha hilo September 18, 2015 alipovujisha taarifa ambayo muda wake ulikuwa bado, kuhusu yeye na rapper wa ‘Don’t Bother’, Joh Makini kufanya collabo.

Bongo5 ilipomtafuta Joh Makini wakati huo...

 

5 years ago

Bongo Movies

VideoMPYA: Nikki wa II ft. Joh Makini & S2kizzy ‘hesabu’ Joh Mwalimu.. Wanafunzi ni Ebitoke, Ben Pol, Quick na wengine

Unakaribishwa kuitazama ngoma mpya ya Nikki wa Pili ambayo amewashirikisha Joh Makini na S2Kizzy inaitwa ‘hesabu’ ambapo humo ndani Joh Makini amecheza kama Mwalimu huku Wanafunzi darasani wakiwa ni Ebitoke, Ben Pol, Quick Rocka, Linah na wengine

 

9 years ago

Bongo5

Shetta akanusha kubebwa kwenye kolabo anazofanya

Hitmaker wa Shikorobo, Shetta amekanusha kubebwa na wasanii anaofanya nao kolabo na kwamba nyimbo anazofanya mwenyewe hazifanyi vizuri. Shetta ameiambia Bongo5 kuwa nyimbo zake nyingi alizowashirikisha wasanii wengine yeye ndio amekuwa akifanya kazi kubwa. “Mimi naamini ngoma kama Shikorobo nimeimba chorus mwenyewe na verse mbili mwenyewe,” amesema. “Ningekuwa nimemtoa pia ningefanya vizuri. Kcee amekuwepo kwa […]

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Jamtz.Com

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani