Shetta akanusha kubebwa kwenye kolabo anazofanya
Hitmaker wa Shikorobo, Shetta amekanusha kubebwa na wasanii anaofanya nao kolabo na kwamba nyimbo anazofanya mwenyewe hazifanyi vizuri. Shetta ameiambia Bongo5 kuwa nyimbo zake nyingi alizowashirikisha wasanii wengine yeye ndio amekuwa akifanya kazi kubwa. “Mimi naamini ngoma kama Shikorobo nimeimba chorus mwenyewe na verse mbili mwenyewe,” amesema. “Ningekuwa nimemtoa pia ningefanya vizuri. Kcee amekuwepo kwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM06 Nov
SHETTA AKANUSHA KUWA NA BIFU NA ALLY KIBA
Mkali wa ngoma ya ‘’Kerewa’’,Sheta amekanusha habari zilizozagaa mtandaoni kuwa hawezi kufanya kolabo na msanii mwenzake wa Bongo Fleva,Ally Kiba.
‘’Sina bifu na Ally Kiba,nilichosema ni kwamba sina mpango wa kufanya kolabo na msanii yoyote hapa Bongo kwa sasa,’’alisema Shetta.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QJ7C9DpUpiY/Xk0ysw5WI8I/AAAAAAALeUg/lvrszk_brwEz-xYP8ryikCaFEwZi40oDQCLcBGAsYHQ/s72-c/images%2B%25282%2529.jpeg)
JOH MAKINI AKANUSHA KUMNYIMA KOLABO DIAMOND PLATINUM
![](https://1.bp.blogspot.com/-QJ7C9DpUpiY/Xk0ysw5WI8I/AAAAAAALeUg/lvrszk_brwEz-xYP8ryikCaFEwZi40oDQCLcBGAsYHQ/s640/images%2B%25282%2529.jpeg)
Akizungumza na kituo kimoja cha redio hapa nchini joh makini amesema habagui kufanya kazi na wasanii wowote na yupo tayari kufanya kazi nao na kutaka taarifa hizo zipuuzwe japo anajua kuwa nani alizisambaza mitandaoni.
"Ikitokea nimefanya kazi nae nadhani itakua nzuri kutokana na uwezo wake na ni miongoni mwa...
10 years ago
Bongo518 Aug
‘Kerewa’ ya Shetta yaingia kwenye Top 10 za Radio 3 Nigeria, NAIJA 102.7 FM, CITY 105.1 FM na THE BEAT 99.9FM
10 years ago
Habarileo27 Oct
Mbunge akanusha kufanya vurugu kwenye ndege
MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki Tanzania (EALA) Shy-Rose Bhanji amesema tuhuma dhidi yake zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii na magazeti mengine katika nchi wanachama wa jumuiya hiyo, zimelenga kuchafua sifa yake, sababu kubwa akisema ni chuki dhidi ya watu wasioipenda misimamo yake ndani ya bunge hilo.
9 years ago
Bongo527 Aug
Besta akanusha kumpoteza Marlaw kwenye muziki
10 years ago
GPLALI KIBA AKANUSHA KUANDAA WATU WAMZOMEE DIAMOND KWENYE FIESTA
9 years ago
Bongo520 Aug
Avril kurekodi wimbo na Christina Shusho? akanusha kuingia kwenye muziki wa injili
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
Rais wa Corinthians akanusha taarifa za Pato kuhamia Liverpool kwenye dirisha la usajili Januari
Mchezaji wa Corinthians, Alexandre Pato.
Rais wa Corinthians, Robero de Andrade.
Na Rabbi Hume
Rais wa klabu ya Corinthians, Robero de Andrade amekanusha uvumi uliokuwa unatolewa na vyombo mbalimbali vya habari kuwa timu hiyo imefikia makubaliano ya awali na Liverpool kuhusu uhamisho wa mchezaji wao Pato.
Andrade amesema kuwa hakuna ofa yoyote ambayo timu hiyo tayari imepokea kutoka kwa Liverpool licha ya kuandikwa habari nyingi kuwa mchezaji wao Pato atahamia Liverpool katika dirisha dogo...
9 years ago
Bongo507 Jan
Beyoncé akanusha kuhusika kwenye filamu inayomhusu mwanamke maarufu wa Afrika Kusini enzi za ukoloni
![beyonce-flag](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/beyonce-flag-300x194.jpg)
Beyoncé amekanusha kuhusika kwa namna yoyote ile kwenye filamu ya maisha ya Saartjie ‘Sarah’ Baartman.
Mapema wiki hii, ilidaiwa kimakosa kuwa Beyoncé ataandika na kucheza kwenye filamu ya mwanamke huyo wa Afrika Kusini aliyekuwa akioneshwa hadharani na wakoloni wa Uingereza kutokana na kuwa na umbo lenye utata hasa, hasa makalio makubwa miaka ya 1800s.
“Beyoncé is in no way tied to this project,” mwakilishi wake aliiambia Billboard. “This is an important story that should be told,...