Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOHARI ATUBU KUMPORA RAY KWA MAINDA

Mwandishi Wetu/Ijumaa
STAA wa sinema za Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amekiri kwamba wakati anaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na nyota wa fani hiyo, Vincent Kigosi ‘Ray’ alijua yupo na nguli wa filamu, Ruth Suka ‘Mainda’. Staa wa sinema za Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Katika mahojiano mafupi na gazeti hili yaliyofanyika Jumanne iliyopita jijini Dar, hali ilikuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAY, JOHARI WACHENGANA

Stori:  Shakoor Jongo Ishu! Wakurugenzi wa Kampuni ya RJ Productions, waliowahi kudaiwa kutoka kimalovee, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Blandina Chagula ‘Johari’ wametoa kali ya katika Makaburi ya Kinondoni, Dar, wakati wa mazishi ya mwigizaji mwenzao, Sheila Haule ‘Recho’ baada ya kuombwa kwa pamoja wainuke kuweka shada kaburini lakini wao wakachengana. Wakurugenzi wa Kampuni ya RJ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Johari Amkana Ray!

Staa wa Bongo Movies na mmiliki mwenza  wa kampuni ya filamu nchini ya ‘RJ Company’, Blandina Chagula ‘Johari’, ameibuka na kushangaza wengi kwa kauli yake kwamba hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji mwenzake, Vicent Kigosi ‘Ray’.

Staa huyo aliwahi kukiri kuwa na uhusiano huo na msanii huyo na kwamba walishaachana kwa amani, ndiyo maana waliweza kuendelea na kampuni yao ya masuala ya filamu ya Rj Company.

Juzi Johari ameliambia gazeti la Mtanzania kwamba, muda mrefu alikuwa...

 

10 years ago

CloudsFM

Chuchu: Ray na Johari si Wapenzi

Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Chuchu Hans amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa mpenzi wake ambaye pia ni staa wa filamu,Vincent Kigosi,’Ray’ hana uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Blandina Chagula’Johari’ kama ambavyo watu wanadhani.

Chuchu amefunguka kupitia Movie Leo na Zamaradi Mketema kuwa watu wamekuwa wakidhani Ray na Johari wana uhusiano wa kimapenzi lakini yeye anavyojua hawana uhusiano bali ni wanafanya kazi kwenye kampuni moja kama wakurugenzi(RJ Film).‘’Ninachojua mimi Ray...

 

11 years ago

GPL

JOHARI: NIKO RJ SIKO NA RAY

Stori: Shakoor Jongo MUIGIZAJI wa ‘long time’ katika tasnia ya filamu Bongo, Brandina Chagula ‘Johari’ juzi kati amefunguka kuwa kwa sasa hayuko na aliyekuwa akidaiwa kuwa ni mpenzi wake, Vicent Kigosi ‘Ray’ ila yuko katika Kampuni ya RJ ambayo wanashirikiana kisanii zaidi. Muigizaji wa Tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ Akizungumza na Ijumaa katika hoteli ya...

 

11 years ago

GPL

MAMA JOHARI AMFUMUA RAY

Stori: Mayasa mariwata,Shani ramadhani. Makubwa! Kwa mara kwanza mama mzazi wa mwigizaji mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ambaye hakupenda jina lichorwe gazetini ameibuka na kumfumua staa wa filamu ‘mbia’ wa mwanaye, Vincent Kigosi ‘Ray’, Risasi Jumamosi lina cha kushika. Mwigizaji mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza na mapaparazi wetu katika...

 

10 years ago

GPL

JOHARI AMPATA MRITHI WA RAY

Brighton masalu MAUMIVU niache! Blandina William Wilbert Chagula ‘Johari’, hatimaye ameondokana na maumivu ya kimapenzi kutoka kwa aliyekuwa mwandani wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ baada ya kumpata mwanaume anayeamini ndiye mumewe mtarajiwa, Risasi Jumamosi linakujuza. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1LJkHbv

 

10 years ago

GPL

RAY ABANWA MTOTO WA JOHARI, AFUNGUKA!

Brighton Masalu na Musa Mateja
SIKU chache baada ya kuripotiwa na gazeti pacha la hili, Risasi Jumamosi kuwa staa wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ alibeba mimba na kuzaa kwa siri huku tetesi zikivuma kuwa baba wa mtoto huyo ni msanii mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’, mambo yameanza kunoga baada ya Ray kufunguka kuwa hahusiki kwa lolote, Risasi Mchanganyiko ‘limemzingira’. ...

 

11 years ago

GPL

JOHARI: RAY HAWEZI KUMUOA CHUCHU

Na Musa Mateja
Blandina Chagula ‘Johari’, juzikati alifunguka kwamba watu waachane na kusikiliza habari za matapeli wa mapenzi, maana suala la Vicent Kigosi ‘Ray’, kumvisha pete mchumba wake wa sasa Chuchu Hans si la kweli na kwamba huo ni utapeli. Staa wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza Ijumaa Mei 13, mwaka huu Johari alisema hana taarifa zozote za Ray kumvisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani