Johari awashangaa marafiki zake
NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa Bongo Movie, Blandina Chagula ‘Johari’, ameshangaza kutokufahamu uhusiano wa urafiki na watu maarufu baada ya kudai anashangaa kuwa na marafiki wengi kwa sasa.
Msanii huyo alifikia hatua hiyo baada ya kusema kuwa kabla ya kuingia kwenye uigizaji hakuwa na marafiki lakini baada ya kuingia katika fani hiyo na kuwa maarufu amekuwa na idadi kubwa ya marafiki.
“Najulikana kwa sasa na naamini ustaa wangu na kazi zangu nilizofanya kwa umaridadi ndio unaonipa marafiki...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuVMe7HldN6sxAfJgFp2qHRFQVIEhTm6bh9OPTtSyvEKAdeC2yA5jD5s6ujzxI539OI9KXRQ20zFJ7yiAI8tZa5R/kopa.jpg?width=650)
KHADIJA KOPA MARAFIKI ZAKE WALIKUWA WAVULANA SHULENI
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili
PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.
Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.
“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Sungura awashangaa wanaomshambulia
MBUNGE wa Viti Maalumu, Sabrina Sungura (CHADEMA), ameshangazwa na baadhi ya Watanzania hususani wanaotoka Mkoa wa Kigoma kumshambulia kwa matusi na kejeli kwa madai kuwa anapinga ujenzi wa Kituo cha...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Askofu awashangaa wachungaji wa magari
MAKAMU Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Magnus Muhiche, amesema kuwa anashindwa kuwaelewa baadhi ya wachungaji wanaotanguliza harambee za ununuzi wa magari badala ya kujenga makanisa....
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0DRPrPYaDrdn6418bK8uwr32l00eRbav0fP6vFF84rA46kaoxRFqF8V3dxTAMFeBo6GqIshXfGRmBx7D24HD6y6/TanzaniaNellyKamwelu.jpg?width=650)
NELLY KAMWELU AWASHANGAA WANAOSEMA KACHUJA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y8Xf2kBXWFm6*sqGkuxv8iy3Txrf0FG94EX9I4nqH9rlLT0NPEYPqd1uMBac*RIHq9uIrJKrmTXKu74TnpT-RnvsHUcI7VXQ/esha.jpg)
ESHA BUHETI AWASHANGAA WALIOKIMBIA UCHAGUZI
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Maige awashangaa wagombea urais CCM
Na Khamis Mkotya, Dodoma
MBUNGE wa Msalala, Ezekiel Maige (CCM), amesema amesikitishwa na mwenendo wa wagombea urais kupitia chama chake kwa jinsi wanavyojinadi.
Akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari ya Bunge mjini hapa jana, Maige alisema inasikitisha wagombea hao badala ya kujadili hoja wamebaki kushambuliana na kurushiana vijembe.
Alisema kitendo cha wagombea hao kujadili watu badala ya hoja kinaonyesha udhaifu walionao huku akiwataka kuacha siasa za...
10 years ago
Bongo Movies07 Jul
Aunt Lulu Awashangaa Wanawake Wanaomkosoa
Mtangazaji na muigizaji wa filamu hapa Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu’ amewashangaa wanawake wote ambao wamekuwa wakimtukana kila anapoweka picha zenye mikao ya kihasara kwenye mtandao ya kijamii na kusema endapo wataendelea atawachukulia mabwana zao.
Akizungumza na Tanuru la Filamu, Aunt Lulu alisema kwamba wanawake ndiyo wanaongoza kumtukana kila akiweka picha za kuonyesha jinsi Mungu alivyolia kumuumba na kumpa mapaja yenye ushawishi kwa kila anayeyaangalia awe wa kike ama...