Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOHARI: Wacha Movie Iendelee

MAPENZINI: Swala la mapenzi ni jambo binafsi, lakini linapokuja kwa watu mastaa huwa lazima lilete stori.Leo nimetua kwa mwigizaji nguli na mahili wa filamu hapa Bongo, Blandina Chagula “JOHARI”.

Ni muda mrefu sasa tangu aachane na aliekuwa mpenzi wake  wa siri Vicent Kigosi “Ray” ambae pia ni mwigizaji na muongozaji wa filamu, mwana dada Johari kwa mara ya pili sasa ametokelezea akiwa na jamaa mwingine ambae amezua maswali mengi bila majibu kutoka kwa Johari mwenye.

KIVIPI?

Takribani...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo Movies

Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili

PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.

 

Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.

“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...

 

10 years ago

Habarileo

‘Wachagueni wacha Mungu uchaguzi 2015’

MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Gloryland Tanga, Manasse Maganga amewashauri waumini wa dini ya Kikristo nchini kuhakikisha katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2015, wanachagua watu wenye hofu ya Mungu ambao wataepuka rushwa na vitendo vya ufisadi kazini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dogo Aslay aja na ‘Wacha Waseme’

KINDA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Asilahi Isihaka ‘Dogo Aslay’, anatarajiwa kuachia kibao kipya kinachojulikana kwa jina la ‘Wacha Waseme’ hivi karibuni. Dogo Aslay anayetamba na wimbo wake mpya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yaamuru ligi ya Kenya iendelee

Mahakama kuu ya Kenya imeiruhusu kampuni inayoendesha ligi kuu ya Kandanda kuendelea mbele baada kutupa nje ombi la kuisimamisha ya FKF

 

11 years ago

Mwananchi

Wasomi wataka rasimu iendelee kujadiliwa

>Baadhi ya wasomi wameshauri kuwepo na uwanja mpana wa kuijadili Rasimu ya Pili ya Katiba iliyotolewa hivi karibuni.

 

11 years ago

Habarileo

Jopo lataka mitambo ya analojia iendelee kuzimwa

Profesa Nerey MvungiSERIKALi imetakiwa kuendelea na awamu ya pili ya kuzima mitambo ya analojia na kwenda dijitali, baada ya kuwapo kwa mafanikio katika awamu ya kwanza.

 

11 years ago

Habarileo

Jopo laagiza mitambo ya analojia iendelee kuzimwa

SERIKALi imetakiwa kuendelea na awamu ya pili ya kuzima mitambo ya analojia na kwenda dijitali, baada ya kuwapo kwa mafanikio katika awamu ya kwanza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani