Wasomi wataka rasimu iendelee kujadiliwa
>Baadhi ya wasomi wameshauri kuwepo na uwanja mpana wa kuijadili Rasimu ya Pili ya Katiba iliyotolewa hivi karibuni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
ALAT wapinga rasimu kujadiliwa
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa (ALAT), Dk. Didas Masaburi, amelitaka Bunge Maalumu la Katiba kukataa kujadili rasimu ya Katiba kutokana na rasimu hiyo kutotambua mamlaka ya Serikali za...
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Wasomi waianzia Rasimu ya Katiba Dar
10 years ago
Habarileo14 Dec
Wasomi waiponda PAC, wataka Tume huru
WAKATI Ikulu ikitoa taarifa na kusema kuwa Rais Jakaya Kikwete atafanya maamuzi juu ya sakata la akaunti ya Escrow kuhusu maazimio ya Bunge, Jumuiya ya Wanazuoni wameibuka na kuponda maazimio ya Bunge yaliyotokana na Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).
11 years ago
Mwananchi08 Aug
Wasomi wataka wanasiasa waondolewe Bunge la Katiba
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Wasomi wataka CCM ijihoji Kingunge kujivua uanachama
10 years ago
Uhuru Newspaper08 Apr
Watanzania Zimbabwe wataka rasimu ya katiba
Na Athanas Kazige, Harare BAADHI ya Watanzania wanaoishi Zimbabwe, wameiomba serikali kupeleka Rasimu ya Katiba ili waisome na kuielewa vizuri. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi hapa, Apatae Fatacky, alisema hayo alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari hii, katika klabu ya Watanzania iliyoko 6 Allan Willson.
Alisema wamekuwa wanafuatia rasimu hiyo kwa kusoma kupitia mitandao ya kijamii na kuomba kama kuna uwezekano wapelekewe vitabu angalau 10, katika ofisi ya ubalozi....
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Wasomi, wanaharakati walipongeza Bunge, wataka hatua zaidi kisheria
10 years ago
Bongo Movies19 Dec
JOHARI: Wacha Movie Iendelee
MAPENZINI: Swala la mapenzi ni jambo binafsi, lakini linapokuja kwa watu mastaa huwa lazima lilete stori.Leo nimetua kwa mwigizaji nguli na mahili wa filamu hapa Bongo, Blandina Chagula “JOHARI”.
Ni muda mrefu sasa tangu aachane na aliekuwa mpenzi wake wa siri Vicent Kigosi “Ray” ambae pia ni mwigizaji na muongozaji wa filamu, mwana dada Johari kwa mara ya pili sasa ametokelezea akiwa na jamaa mwingine ambae amezua maswali mengi bila majibu kutoka kwa Johari mwenye.
KIVIPI?
Takribani...