Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wachagueni wacha Mungu uchaguzi 2015’

MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Gloryland Tanga, Manasse Maganga amewashauri waumini wa dini ya Kikristo nchini kuhakikisha katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2015, wanachagua watu wenye hofu ya Mungu ambao wataepuka rushwa na vitendo vya ufisadi kazini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

TIKO: MUNGU ATUEPUSHIE MACHAFUKO UCHAGUZI

Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Tiko Hassan amemuomba Mungu aiepushe Tanzania na machafuko wakati huu taifa likijiandaa kwa uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba mwaka huu. Staa wa filamu Bongo, Tiko Hassan. Akipiga stori na gazeti hili, msanii huyo aliwataka watu kutofanya mambo kwa kufuata mkumbo kwani uchaguzi unaonekana kuwa mgumu wenye mchuano mkali baina ya vyama vyote vya siasa. “Nina...

 

10 years ago

Bongo Movies

JOHARI: Wacha Movie Iendelee

MAPENZINI: Swala la mapenzi ni jambo binafsi, lakini linapokuja kwa watu mastaa huwa lazima lilete stori.Leo nimetua kwa mwigizaji nguli na mahili wa filamu hapa Bongo, Blandina Chagula “JOHARI”.

Ni muda mrefu sasa tangu aachane na aliekuwa mpenzi wake  wa siri Vicent Kigosi “Ray” ambae pia ni mwigizaji na muongozaji wa filamu, mwana dada Johari kwa mara ya pili sasa ametokelezea akiwa na jamaa mwingine ambae amezua maswali mengi bila majibu kutoka kwa Johari mwenye.

KIVIPI?

Takribani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dogo Aslay aja na ‘Wacha Waseme’

KINDA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Asilahi Isihaka ‘Dogo Aslay’, anatarajiwa kuachia kibao kipya kinachojulikana kwa jina la ‘Wacha Waseme’ hivi karibuni. Dogo Aslay anayetamba na wimbo wake mpya...

 

9 years ago

Mtanzania

Tuliwapenda ila Mungu aliwapenda 2015

bobbi-kristina-b-768NA HASSAN BUMBULI

WIKI iliyopita katika safu hii tulikuandalia habari mbalimbali za wasanii maarufu duniani ambao wanaumaliza mwaka kwa kuonja joto la jela.

Baadhi ya wasanii hao walikuwa wanatumikia kifungo cha muda mfupi, huku wengine wanaonekana wazi kuwa mwaka mpya watauonea gerezani.

Jumamosi ya leo tunakujuza au kukukumbusha vifo vya wasanii mbalimbali ambao wamepoteza maisha mwaka huu.

KRISTINA BROWN

Huyu alikuwa mtangazaji wa vipindi mbalimbali vya runinga, mwanamitindo na msanii...

 

11 years ago

GPL

MUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA‏

Elisha Bahunde akiwa chumba # 8 ghorofa ya 6 alipolazwa tangia siku ya Jumatano Feb 19, 2014 alipoletwa Maryland kwa matibabu zaidi
Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.…

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU WAPIGA KURA RASMI KWA MFUMO WA BVR MKOANI KAGERA KUANA KESHO MEI 21, 2015 HADI JUNI 18, 2015


Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuzindua rasmi uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura kwa kutumia mfumo wa kielektroniki wa (Biometric Voters Registration BVR) mkoani Kagera katika Manispaa ya Bukoba kesho tarehe 21/05/2015 kuanzia asubuhi saa mbili. Zoezi la uzinduzi litaongozwa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Mhe. John Mongella katika mtaa wa Pwani eneo la uwanja wa ndege wa Bukoba kata ya Miembeni Manispaa ya Bukoba. Uzinduzi huo utafanyika katika Halmashauri zote za wilaya siku hiyo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani