Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIKO: MUNGU ATUEPUSHIE MACHAFUKO UCHAGUZI

Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Tiko Hassan amemuomba Mungu aiepushe Tanzania na machafuko wakati huu taifa likijiandaa kwa uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba mwaka huu. Staa wa filamu Bongo, Tiko Hassan. Akipiga stori na gazeti hili, msanii huyo aliwataka watu kutofanya mambo kwa kufuata mkumbo kwani uchaguzi unaonekana kuwa mgumu wenye mchuano mkali baina ya vyama vyote vya siasa. “Nina...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kufuta uchaguzi ni kukaribisha machafuko

Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika Oktoba 25, yamefutwa. Uamuzi huo unaifanya Zanzibar kuwa miongoni mwa nchi ambazo matokeo ya uchaguzi yaliyoelekea kuvipa ushindi vyama vya upinzani kufutwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kuundwa Tume Huru ya Uchaguzi kunasubiri kuwapo machafuko?

Kama kuna jambo ambalo limewafanya wananchi wengi kukuna vichwa kwa muda mrefu pasipo kupata majibu, ni kutoundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi kusimamia chaguzi mbalimbali na mchakato wa kupata Katiba Mpya katika ngazi zote zilizosalia, baada ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kumaliza kazi yake rasmi wiki ijayo.

 

10 years ago

Habarileo

‘Wachagueni wacha Mungu uchaguzi 2015’

MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Gloryland Tanga, Manasse Maganga amewashauri waumini wa dini ya Kikristo nchini kuhakikisha katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2015, wanachagua watu wenye hofu ya Mungu ambao wataepuka rushwa na vitendo vya ufisadi kazini.

 

11 years ago

GPL

MUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA‏

Elisha Bahunde akiwa chumba # 8 ghorofa ya 6 alipolazwa tangia siku ya Jumatano Feb 19, 2014 alipoletwa Maryland kwa matibabu zaidi
Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.…

 

10 years ago

GPL

TIKO ABONDWA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
STAA wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan, hivi karibuni alionja joto ya jiwe baada ya kushushiwa kipigo kizito na hawara wake aliyetajwa kwa jina moja la Ally. Staa wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan akiwa na jeraha la kipigo kutoka kwa hawara yake. Kwa mujibu wa chanzo makini, siku ya tukio Tiko alikuwa na Ally nyumbani kwake, Mwananyamala ndipo ghafla hali ya hewa ikachafuka baada ya...

 

11 years ago

GPL

TIKO ATESWA NA MKOROGO

Stori: Imelda Mtema MSANII wa Bongo Movies, Tiko Hassan amedaiwa kuteswa na madhara ya mkorogo kiasi cha kumfanya  shindwe kutoka ndani. Msanii wa Bongo Muvi, Tiko Hassan katika pozi. Vyanzo makini vimedai, staa huyo amekuwa na weusi usoni kutokana na matumizi ya mkorogo. Alipoulizwa kuhusu ishu hiyo, Tiko alijibu: “Kweli nimejifungia ndani sana siku hizi yawezekana ndiyo sababu ya kuwa na weusi lakini si… ...

 

10 years ago

GPL

TIKO AKATAA KUITWA GOGO

Stori: laurent samata
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo vizuri katika sekta hiyo. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan. Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na paparazi wetu na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya kuambiwa kuwa kuna marafiki zake wanamuita...

 

10 years ago

GPL

TIKO AMEKIMBIA NYUMBA YAKE

Gladness Mallya
MWANADADA kutoka tasnia ya filamu na muziki Bongo, Tiko Hassan ameikimbia nyumba aliyokuwa akiishi maeneo ya Mwananyamala jijini Dar kutokana na mambo ya kishirikina.Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Tiko alisema kuwa, ameamua kuihama nyumba hiyo licha ya kwamba kodi yake haijaisha kufuatia maruweruwe yaliyokuwa yakimpata nyakati za usiku. Mwanadada kutoka tasnia ya filamu na muziki Bongo, Tiko Hassan....

 

9 years ago

GPL

TIKO: KAMPENI ZIMEUA SANAA

Na Gladness Mallya MWANADADA anayekuja juu katika filamu Bongo, Tiko Hassan amesema kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu zimechangia kuua sanaa ya filamu kwani wasanii wengi walijikuta wakijikita huko na kusahau kazi zao. Mwanadada anayekuja juu katika filamu Bongo, Tiko Hassan. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Tiko alisema baada ya uchaguzi, wasanii wa filamu wana kazi nzito ya kuirudisha tasnia yao ambayo imefifia kutokana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani