Tuliwapenda ila Mungu aliwapenda 2015
NA HASSAN BUMBULI
WIKI iliyopita katika safu hii tulikuandalia habari mbalimbali za wasanii maarufu duniani ambao wanaumaliza mwaka kwa kuonja joto la jela.
Baadhi ya wasanii hao walikuwa wanatumikia kifungo cha muda mfupi, huku wengine wanaonekana wazi kuwa mwaka mpya watauonea gerezani.
Jumamosi ya leo tunakujuza au kukukumbusha vifo vya wasanii mbalimbali ambao wamepoteza maisha mwaka huu.
KRISTINA BROWN
Huyu alikuwa mtangazaji wa vipindi mbalimbali vya runinga, mwanamitindo na msanii...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo31 Dec
REPEAT: Nay wa Mitego aliumizwa na hili pia mwaka 2015 ila hakuongea kwa undani kiasi hiki
Kila mtu anayo yaliyompata mwaka 2015 iwe huzuni au furaha, kwa staa wa bongofleva Nay wa Mitego kwenye upande wa mapenzi hawezi kusahau mengi ikiwemo ya mpenzi wake kuvishwa pete ya uchumba na Mwanaume mwingine wakati huohuo akiwa na Nay, mengine yote aliyoyasema yapo kwenye hii video hapa chini’ Unataka kutumiwa MSG za habari zote […]
The post REPEAT: Nay wa Mitego aliumizwa na hili pia mwaka 2015 ila hakuongea kwa undani kiasi hiki appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Habarileo27 Dec
‘Wachagueni wacha Mungu uchaguzi 2015’
MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Gloryland Tanga, Manasse Maganga amewashauri waumini wa dini ya Kikristo nchini kuhakikisha katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2015, wanachagua watu wenye hofu ya Mungu ambao wataepuka rushwa na vitendo vya ufisadi kazini.
11 years ago
GPLMUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA
10 years ago
Vijimambo5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-JSexxhkX_nQ/Xk52UGVhgsI/AAAAAAACHyU/XvJU3MiHv0QNtD8S4Axe7rxAKq_MdmORQCLcBGAsYHQ/s72-c/HIJA%2BYA%2BCHANZO%2BHALISI.jpg)
KANISA HALISI LA MUNGU BABA LINAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE HIJA YA CHANZO HALISI CHA MUNGU BABA, MJINI KIGOMA 26 THEBETI,1(26 APRILI,2020)
![](https://1.bp.blogspot.com/-JSexxhkX_nQ/Xk52UGVhgsI/AAAAAAACHyU/XvJU3MiHv0QNtD8S4Axe7rxAKq_MdmORQCLcBGAsYHQ/s400/HIJA%2BYA%2BCHANZO%2BHALISI.jpg)
Sauti Mpya(2019) ambayo imetangaza kuwa Tanzania ni Taifa Baba ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo imetangaza kuwa Afrika ni Bara la Nuru ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya zile Sauti Saba ilisikika Kigoma-Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya ishara tatu mbinguni (Ufunuo 12:1-9) ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya Nafsi ya Moyo (Miungu tisa mitakatifu iliyofafanuliwa ndani ya Kitabu) ilisikika...
10 years ago
Mtanzania10 Apr
Julio: Nilijua tutafungwa, ila si hivi
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’, amesema kuwa alijua atafungwa na Yanga, lakini si kwa idadi kubwa ya mabao kama waliyofungwa.
Yanga juzi iliwastaajabisha Coastal Union ya Tanga kwa kuwafunga mabao 8-0, ikiwa ni idadi kubwa ya mabao waliyofungwa msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara, iliyo kwenye hatua za lala salama.
Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo huo, Julio alisema, hakuwa na taarifa ya mchezo huo, kwani alijua watakutana nayo...
9 years ago
Mwananchi08 Oct
Samatta, Ulimwengu waizima Malawi, ila...
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Warioba, akuchukiaye hakosi ila ya kukutia
ANAYEKUCHUKIA hakosi kasoro au ila ya kusema kuwa nayo. Twashauriwa kutoshangaa, hasa tusikiapo maneno fulani yakisemwa na watu wasiotupenda. Yesu alisema “Nabii hakosi kupata heshima, isipokuwa katika nchi yake, na...
10 years ago
Bongo Movies13 Jun
Niva Anakesha, Ila Hana Demu
MSANII nyota kwenye tasnia ya filamu nchini, Mohamed Zuberi ‘Niva’ amesema licha ya kupenda kukesha katika klabu za usiku, lakini ‘anashukuru’ hajawahi kuchunwa na wanawake.
Niva ambaye amekuwa akiwakosha mashabiki wa filamu kwa filamu zake, alisema kikubwa zaidi anachokutana nacho ni kushuhudia mateso makubwa waliyonayo wanaume wenye kupenda kuhonga. “Kwa kweli huwa nashangaa jamaa wanaotumia mkwanja kuonga kwa ajili ya mapenzi, inashangaza mno na wanashindwa kufikia malengo yao ya...